N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere.
EXTRACT YA RIPOTI INASEMA
"Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli ya Mtwara - Songea - Mbambabay na matawi ya reli za Liganga na Mchuchuma. Upembuzi yakinifu na muundo wa awali ulikamilika mwezi Januari 2016, ambao unaonesha urefu wa njia ya mradi ya kilometa 997 na gharama za ujenzi zilizokadiriwa kuwa dola za Marekani bilioni 4.74. Hata hivyo, tangu mwaka 2016 ujenzi wa mradi huo bado haujaanza kutokana na kutopatikana kwa vyanzo vya fedha za kufadhili mradi huo wakati Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano wa Taifa umebakiza miaka mitatu kabla ya kukamilika ifikapo 2026."
MY TAKE:
Mikoa ya Kusini iangaliwe kwa jicho muhimu kupitia utekelezwaji wa mradi huu. Kuna wakati ilisemekana mikoa hii ni ya mwishomwisho kiuchumi, kama kweli, basi Ndugu zeta Hawa watendewe haki wajengewe reli kuwafungua zaidi ili twende pamoja. Nawasilisha with love. Nyadikwa.