kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika
Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile sehemu ya kukata tiketi, mlango wa kuingia na kutoka. Hii itaepusha yasiyotarajiwa wakati reli itakapoanza kufanya kazi
Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile sehemu ya kukata tiketi, mlango wa kuingia na kutoka. Hii itaepusha yasiyotarajiwa wakati reli itakapoanza kufanya kazi