Ujenzi wa reli ya kasi uende sanjari na utoaji wa elimu ya matumizi yake sahihi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika

Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile sehemu ya kukata tiketi, mlango wa kuingia na kutoka. Hii itaepusha yasiyotarajiwa wakati reli itakapoanza kufanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…