Mkuu umemaanisha Mita au futi 5!?Chimba shimo walau urefu kwenda chini 5m(mita tano), kipenyo(diameter!?) 1.3m na utapata ujazo unaoutaka wa lita 7000
Mita mkuu, japo inategemea pia. Kama unataka liwe pana kidogo urefu kwenda chini utapungua.Mkuu umemaanisha Mita au futi 5!?
Volume (V)= 3.14 x Radius(R)² x Depth(H)Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea.
Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7, naomba kufahamu Kwa ujazo huo je, inanipasa nichimbe shimo Kwa vipimo gani? (Yani nichimbe futi ngapi kwenda chini na upana uweje?)
Karibuni....
Shukrani Sana mkuu Kwa ufafanuzi huu mzuri japo umetumia lugha za kitaalamu na Mimi mwenzako ni wa D mbili hapo ndo nmepata taabu kuelewa.Volume (V)= 3.14 x Radius(R)² x Depth(H)
V=3.14×R²xH
V/(3.14xH)=R²
SQRT(V/3.14H)=R
R=SQRT(V/3.14H)
R=SQRT(7/3.14H)
Hapo kuna unknown mbili (Radius na Depth), kwa hivyo itabidi tuwe tunaplug unknown moja ili kupata unknown nyingine
Mfano ukitaka kuchimba shimo la futi 8 (ambayo ni sawa na mita 2.4)
R=SQRT(7/3.14x2.4)
Radius itakuwa 0.96m
Ukitaka kuchimba shimo la futi 10 (ambayo ni sawa na mita 3),
R=SQRT(7/3.14x3)
Radius itakuwa 0.86m
Ukitaka kuchimba shimo la futi 12 (ambayo ni sawa na mita 3.6)
R=SQRT(7/3.14x3.6)
Radius itakuwa 0.79m
Kiufupi kama utachimba shimo la futi 8 na kuendelea, radius ya mita 1 inatosha kabisa kupata huo ujazo
Kwa mahitaji ya Ramani, Makadirio au Ushauri kuhusu Ujenzi tuwasiliane +255(0)624068809
Ok sawa, kama unataka kuchimba shimo la duara chimba shimo la upana wa mita 2 na kina cha futi 8Shukrani Sana mkuu Kwa ufafanuzi huu mzuri japo umetumia lugha za kitaalamu na Mimi mwenzako ni wa D mbili hapo ndo nmepata taabu kuelewa.
Nieleze tu kwamba chini niende futi ngapi na upana uwe futi ngapi Kwa ngapi hapo ndo ntaelewa Kwa uzuri zaidi mkuu. Asante
Barikiwa Sana mkuu Kwa maelezo mazuri namna hii.Ok sawa, kama unataka kuchimba shimo la duara chimba shimo la upana wa mita 2 na kina cha futi 8
Kama unataka kuchimba shimo la mstatili, chimba shimo la urefu wa futi 8, upana wa futi 4 na kina cha futi 8 au kama ardhi yako ni ngumu kuchimba kwenda chini basi chimba shimo la urefu wa futi 10, upana wa futi 6 na kina cha futi 5 (ambapo hapa utakuwa na shimo la kuingiza lita 8000)
Amina amina. .karibu kwa Ramani, Makadirio na UshauriBarikiwa Sana mkuu Kwa maelezo mazuri namna hii.