Nyumba yakawaida ibadlishe kuwa ghorofa kwa kubdilisha paa?? are you serious? msingi wa ghorofa unaujua kweli mkuu wangu..
Well mm sio mtaalam sana wa mambo ya ujenzi....so hapo kwenye "structural insulted panels" umeniacha mzee. Lol. Hata hivyo fundi tayari ana-material karibu yote isipokuwa hizo marine boards na cement.
Structural insulted panels ni za chuma?
Hata mimi nimechaka kimoyomoyo. Kumbe King Kong III mtoto wa geti kali udosini...
Bado marine boards zipo?
Ok mzee nimekusoma...
Shukrani. Hii sio tofali? Sasa floor yake inakuwa ni kitu gani hasa ikiwa ipo gorofani?
Inaweza kuhimili.. Muhimu ni design nzuri ambayo ina treat effects za buckling na bendingOk.
Kwa uelewa tu. Je zinaweza kutumika kujenga gorofa ambayo inapilikapilika na ya kutumiwa na watu wengi? Eg mini mall
mkuu naweza kupata maelezo ya kina kuhusu structure insulated panel kwa dar zinapatikanajeYeah.. Inawezekana tena sana.. Most cases misingi ya single storey huwa imara na nyumba inaweza kufanyiwa vertical extension... Ila ni muhimu engineer wako kufanya study ili a determine structural soundness of the foundation
Akikujibu na mimi nitag nisome majibu yakemkuu naweza kupata maelezo ya kina kuhusu structure insulated panel kwa dar zinapatikanaje
Huyo jamaa sidhani kama anaelewa anachokisema.Iko hivi kaka mbao inapoteza strenth kila inapotumika so the more inatumika ndivyo strenth inavyoisha na kwenye structure ili ikae ni lazima kile kilichoshikilia kiwe na strenth ya kuweza kuhimili forces.zaidi kama ni slab itasag kama unatumia mbao zilizotumika mara nyingi kuna kitu kinaitwa bending moment. Inashauriwa mbao isitumike zaidi ya mara tatu kama sikosei. Mwisho mi sio eng ni architect so majibu sahihi ni yale atakayoshauri eng thanks
Ndugu zangu naona tunakwenda kudanganyana na mwisho kupotezana.Nyumba yakawaida ibadlishe kuwa ghorofa kwa kubdilisha paa?? are you serious? msingi wa ghorofa unaujua kweli mkuu wangu..
Ukitaka kujenga hakikisha unayo pesa sio kuleta ubangaizaji ndio mwishowe ni kuuwana; vifaa chakavu vya ujenzi haviwezi kuwa na strength ileile kama vikiwa vipya sasa unapovifanyia biashara ya kuvizungusha na kuvizungusha gorofa hadi gorofa mwishowe ni misiba na kuishia jela. Kama huna pesa kapange usilete biashara kichaa kwenye uhai wa wenzio
Huyo jamaa sidhani kama anaelewa anachokisema.
Form work is reusable, inategemea matunzo na umakini wakati wa dismantling.
Unaweza kutumia form work Mara tatu kwa ubora ule ule.
QS
- KANA -
Mtafute beaf tanzania , anazo za chuma anakodisha....
Otherwise kwanini usijengee structural insulated panels kwa upande wa ghorofa uliobaki uokoe gharama za ujenzi ?
No concrete slab, no conrete columns and no formwork,.
Mkuu huo mjengo una sq m ngapi? maana haya mahesabu yako yananikata stimu.ndo msingi umeisha, nyumba ina gorofa moja tu, BOQ ilisema msingi tu ni m 43.
nikawa nimeandaa m65 ili nijenge msingi na colums. mweee msingi tu nimetumia 57, na bado inaendelea gharama za kumwagilia maji. sasa iyo slab ya juu sijui itakuwaje,
BOQ inasema hiyo superstructure itagharimu m 46 nahisi inaweza kuwa mara mbili ya hiyo
ila pia na mafundi nanaoverestiamate sana materials, hapa nimebaki na nondo 100 za
Angalau wewe hesabu zako zinatia moto!Wakuu mimi nimejenga kigorofa cha square meter 144, Juu 3 bedroom (all masters ) sebule ndogo na Patio. Marine sheet peke yake zimekula million 6, ukiweka na mbao unaweza lia machozi. Mirunda nilinunua 800 hiyo ni 2 million, sasa mbao za 13000 ndio sikumbuki maana niliacha na kuhesabu kabisa. In short nyumba ya 144 sqrm andaa sio chini ya milion 27 kupiga slab tuu.
Msingi nadhani sio bei kali kama Slab.
Ukitaka kukodisha metal sheet za formwork kutoka kwa jamaa wa mtaani wale wanakupa kwa 4 weeks wanakucharge kama 30,000 kwa sqrm, hawakupi frame za beam, hivyo bado utaingia 2 au 3 million gharama, vilevile canopy yake sio kama ya mbao.
Misumari inayolika unaweza kulia machozi. Ujenzi wetu Tanzania bado ni wa karne ya 7.