Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

Nyumba yakawaida ibadlishe kuwa ghorofa kwa kubdilisha paa?? are you serious? msingi wa ghorofa unaujua kweli mkuu wangu..

Yeah.. Inawezekana tena sana.. Most cases misingi ya single storey huwa imara na nyumba inaweza kufanyiwa vertical extension... Ila ni muhimu engineer wako kufanya study ili a determine structural soundness of the foundation
 
Well mm sio mtaalam sana wa mambo ya ujenzi....so hapo kwenye "structural insulted panels" umeniacha mzee. Lol. Hata hivyo fundi tayari ana-material karibu yote isipokuwa hizo marine boards na cement.

Structural insulted panels ni za chuma?

Ooh, pole . ila sio vibaya ukazijua ili next time uweze kupunguza costs.. Ni PM email yako nikutumie necessary information na picha zake...
 
9.JPG18.JPG
Structural Insulated Panels hizi hapa.... nalo neno
 
Last edited by a moderator:
Ok mzee nimekusoma...
Shukrani. Hii sio tofali? Sasa floor yake inakuwa ni kitu gani hasa ikiwa ipo gorofani?

Slab yake inakua ni hio hio panels.. Ila ya slab inakua na thickness kubwa kidogo..
 
Ok.
Kwa uelewa tu. Je zinaweza kutumika kujenga gorofa ambayo inapilikapilika na ya kutumiwa na watu wengi? Eg mini mall
Inaweza kuhimili.. Muhimu ni design nzuri ambayo ina treat effects za buckling na bending
 
Taifa hili linahitaji watu kama nyie kaka nimekupongeza sana na long live
 
Yeah.. Inawezekana tena sana.. Most cases misingi ya single storey huwa imara na nyumba inaweza kufanyiwa vertical extension... Ila ni muhimu engineer wako kufanya study ili a determine structural soundness of the foundation
mkuu naweza kupata maelezo ya kina kuhusu structure insulated panel kwa dar zinapatikanaje
 
ndo msingi umeisha, nyumba ina gorofa moja tu, BOQ ilisema msingi tu ni m 43.

nikawa nimeandaa m65 ili nijenge msingi na colums. mweee msingi tu nimetumia 57, na bado inaendelea gharama za kumwagilia maji. sasa iyo slab ya juu sijui itakuwaje,

BOQ inasema hiyo superstructure itagharimu m 46 nahisi inaweza kuwa mara mbili ya hiyo

ila pia na mafundi nanaoverestiamate sana materials, hapa nimebaki na nondo 100 za
 
Iko hivi kaka mbao inapoteza strenth kila inapotumika so the more inatumika ndivyo strenth inavyoisha na kwenye structure ili ikae ni lazima kile kilichoshikilia kiwe na strenth ya kuweza kuhimili forces.zaidi kama ni slab itasag kama unatumia mbao zilizotumika mara nyingi kuna kitu kinaitwa bending moment. Inashauriwa mbao isitumike zaidi ya mara tatu kama sikosei. Mwisho mi sio eng ni architect so majibu sahihi ni yale atakayoshauri eng thanks
Huyo jamaa sidhani kama anaelewa anachokisema.
Form work is reusable, inategemea matunzo na umakini wakati wa dismantling.
Unaweza kutumia form work Mara tatu kwa ubora ule ule.
QS

- KANA -
 
Nyumba yakawaida ibadlishe kuwa ghorofa kwa kubdilisha paa?? are you serious? msingi wa ghorofa unaujua kweli mkuu wangu..
Ndugu zangu naona tunakwenda kudanganyana na mwisho kupotezana.
Ninachojua n kwamba ardhi yoyote inasupport kujenga nyumba ya aina yoyote, design yoyote. Cha msingi ukisha kuwa na wazo la kujenga nyumba kama hiyo(ghorofa) unatakiwa ufanye soil investigation ikiwemo CBR. CBR itakusaidia wewe kujua strength ya udingo wa polt yako, test nyngne inaitwa sieve analysis ambayo itasaidia ujue particle size distribution. Hapa unaweza jenga nyumba ya ukubwa wowote cha msingi n improvement of foundation. Hapa hautaji kusita ktk maaumuz yako. Na wakat unachimba ili kuchukua sample ya udongo unaweza gungua asili ya udongo wako sababu unaenda deep kidogo.
Lkn pia ktk kubadilsha design kutoka single storey building kwenda mult storey bulding si jambo la kuamua mbele ya safar kama muheshimiwa alivyoshaur

Ili nyumba iwe mult storey (ghorofa) inabd iwe na ukuta mzur wa kubeba mzigo wa juu kama haijajengwa na column (nguzo) so kama ulijengea tofali zisizo na viwango (ratio nzur ya tofali na mortor) hili n tatizo...
Lkn ish nyngine ni design ya foundation (msingi) uliojengea, kama haukuwa imara bas n tatizo pia.
Ushaur....ukiwa na wazo la kujenga nyumba ya tofaut na ya kudumu jaribu kumtumia mtaalam (civil engineer, technician ) hata katika kukushaur tyu. Hawa wamekwenda shule ili wahusike ktk shughuli kama hizi. Usimwamn fundi wako kwa sababu yeye anajua yale aliyofundishwa na fundi wake na s zaid.
 
Ukitaka kujenga hakikisha unayo pesa sio kuleta ubangaizaji ndio mwishowe ni kuuwana; vifaa chakavu vya ujenzi haviwezi kuwa na strength ileile kama vikiwa vipya sasa unapovifanyia biashara ya kuvizungusha na kuvizungusha gorofa hadi gorofa mwishowe ni misiba na kuishia jela. Kama huna pesa kapange usilete biashara kichaa kwenye uhai wa wenzio

Mkuu hivi unafikiri watu wanajenga slab tu bila ya kufuata michoro/maelekezo ya Structural Engineer? Nani kakwambia kinacho determined uimara wa slab ni mirunda na mbao - nani?

Msipende pende kukatisha watu tamaa au kuwafanya wanao toa ushauri waonekane hawajui walisemalo, mleta mada anatoa ushauri ambao sisi wengine tumewahi kuutumia kwa mafanikio makubwa tu.

FYI you can re-use mbao na mirunda 4 formwork ya kushikiria slab kwa muda bila matatizo yoyote, cha muhimu ni kuwapa kazi formwork experts basi, Structural Engineer anakuja kuangalia nodo zilivyo tandazwa kwenye formwork kabla ya kumwaga/mimina zege, baada ya zege kukahuka SLAB inaonekana nzuri tu, cha muhimu ni kuhakikisha wajenzi/mafundi wanamwagilia SLAB maji mara mbili kwa siku kwa muda uliyo shauriwa na Engineer.
 
Hyo BOQ ameanda nan??? Is he qualified one?? If yes, supeevision ya hapo site ipo vp. Fluctuations za cost zinasababishwa na QS mwenyewe au supervision ya site. Kama usimamizi wa site s mzur hapa boq inabaki kuwa makaratasi tyu.

Ktyu kingine n khs used form works
Hz zinaweza ziwe imara au zisiwe imara, hii inadepend na zinavyoonekana kwa macho, arrangement, nafas inayoachwa kutoka bar moja had nyingine, mfano mrunda mmoja had mwingine.
Lkn pia kama zimekatwakatwa hupelekea kuharibu design yako. Mfano marine iliyokatwa sana inmsumbua fundi karika kufill gape zote hivyo inaweza iruhusu zege kupenya ambapo zege likikauka huwa gumu na halitimbiki kirahs
Pia marine zikipata maji zinakuwa haziwezi kushape na kumentain smoothness ya slab yako. Hivyo ish si kutumika mara ngap, ish n zinaonekana vp?
Asante
# marrykate
 
Huyo jamaa sidhani kama anaelewa anachokisema.
Form work is reusable, inategemea matunzo na umakini wakati wa dismantling.
Unaweza kutumia form work Mara tatu kwa ubora ule ule.
QS

- KANA -

Well said.
 
Mtafute beaf tanzania , anazo za chuma anakodisha....

Otherwise kwanini usijengee structural insulated panels kwa upande wa ghorofa uliobaki uokoe gharama za ujenzi ?
No concrete slab, no conrete columns and no formwork,.

Hii naitafuta sana, please clarify kidogo - SLABS zinakula pesa sana.
 
ndo msingi umeisha, nyumba ina gorofa moja tu, BOQ ilisema msingi tu ni m 43.

nikawa nimeandaa m65 ili nijenge msingi na colums. mweee msingi tu nimetumia 57, na bado inaendelea gharama za kumwagilia maji. sasa iyo slab ya juu sijui itakuwaje,

BOQ inasema hiyo superstructure itagharimu m 46 nahisi inaweza kuwa mara mbili ya hiyo

ila pia na mafundi nanaoverestiamate sana materials, hapa nimebaki na nondo 100 za
Mkuu huo mjengo una sq m ngapi? maana haya mahesabu yako yananikata stimu.
 
Wakuu mimi nimejenga kigorofa cha square meter 144, Juu 3 bedroom (all masters ) sebule ndogo na Patio. Marine sheet peke yake zimekula million 6, ukiweka na mbao unaweza lia machozi. Mirunda nilinunua 800 hiyo ni 2 million, sasa mbao za 13000 ndio sikumbuki maana niliacha na kuhesabu kabisa. In short nyumba ya 144 sqrm andaa sio chini ya milion 27 kupiga slab tuu.

Msingi nadhani sio bei kali kama Slab.

Ukitaka kukodisha metal sheet za formwork kutoka kwa jamaa wa mtaani wale wanakupa kwa 4 weeks wanakucharge kama 30,000 kwa sqrm, hawakupi frame za beam, hivyo bado utaingia 2 au 3 million gharama, vilevile canopy yake sio kama ya mbao.

Misumari inayolika unaweza kulia machozi. Ujenzi wetu Tanzania bado ni wa karne ya 7.
Angalau wewe hesabu zako zinatia moto!
 
Back
Top Bottom