Ujenzi wa SLAB ya ghorofa

ni


aliendaa BOQ professional architect, anamiliki pia kampuni la ujenzi, nilijaribu kutafuta na QS nae estimation yake ikawa m 42,ila nahisi kwenye usimamizi ndo palikuwa na issue, ya msimamizi wangu alikuwa anajigamba sana huko site hat kukaa ikawa hakai kila sekunde yupo town nahisi niliibiwa tu, sasa embu niambie mbao mpya kabisa zinaweza tengeneza form work
 
Hao wajasiriamali wapo wengi sn ss hv.. kunaambao wanakuuzia na wapo ambao wanakodisha..
Nakumbuka nilikuwa na hitaji nikaelekezwa pale kariakoo gerezani na nikapata zakukodi nailisaidia sn...

Iphone 5
 
Mtafute beaf tanzania , anazo za chuma anakodisha....

Otherwise kwanini usijengee structural insulated panels kwa upande wa ghorofa uliobaki uokoe gharama za ujenzi ?
No concrete slab, no conrete columns and no formwork,.

Boss, imenibidi nijitoe tongotongo juu ya hizo SIPs, nimeangalia nimeona ni mbao mfano wa marine board zimeisandwitch insulator/boya katikati.

Huu ujenzi upo Tanzania.?

Haya material yapo TZ.?

Kuna jengo lolote la mfano uliloona kwa hapa TZ lilojengwa kwa SIPs.?

Vipi durability yake na life span ya nyumba iliyojengwa kwa SIP.?

Kwa nyumba ya kawaida ya square meter 120 ya vyumba vitatu, material yote yanaweza cost kiasi gani.?
 
View attachment 552078View attachment 552080View attachment 552083View attachment 552084View attachment 552085View attachment 552086
 
Mkuu Complex , SIPs zilizopo Tanzania niza expanded polystyrene sandwiched in between galvanised wiremesh ( structural element). Materials yapo Tanzania for over seven years... Mifano ya majengo hapo Mengi tuu Tanzania.. 1. Mtwara Praia hotel, kuna jengo pale IST, top floor Ramada resort MBEZI beach, apartments in Oysterbay and many Moooooore....

Efficiency in energy, cost effective, durable (80yrs plus life span), environmental friendliness, high speed of construction are among the advantages of SIPs...

Cc Bukyanagandi
 

So, ikiwa kama mdau uliyeshuhudia huu ujenzi, Je kati ya ujenzi wa tofali za kawaida na ujenzi wa SIPs, unashauri nini kwa mtnzania wa kawaida. Ukitilia maanani ubora, Gharama, impression/appearance ya nyumba uliyoijenga. Na vipi about maintanance cost Kuna anay maintanance cost baada ya kujenga.?.?
 
Habari wadau, kuna hawa jamaa wanajiita Mega Panel Tanzania Mega Panels | Home wanauza material kama za wadau kadhaa walizozieleza hapo juu ILA niwasumbufu hasa kama unataka kwanza kuandaliwa au kulipia BOQ. Naomba iwapo kuna mtaalamu yeyote mwenye ujuzi wa haya mambo tuwasiliane Inbox.

Ahsante
 
Tunauza paving blocks za aina tofauti tofauti kwa square meter moja elf 30 usafiri juu yetu ila kama eneo lako lipo chini ya square meter 50 usafiri unajigharamikia na wall panels za ukutani square meter moja elf 40 tuu
Karibu sana na mnisamehe kwa picha nyingi!
 

Attachments

  • IMG_20191108_092411.jpeg
    141.4 KB · Views: 27
Nimekuja kwenye uzi ila sijapata tariffa za kunisaidia...Nani anaweza kunipa hesabu ya gharama za slab ya 21x17
 
Strength of material hii kama nishawahi Ione kwenge physics enzi zile.
 
Nimekuja kwenye uzi ila sijapata tariffa za kunisaidia...Nani anaweza kunipa hesabu ya gharama za slab ya 21x17

Kwa slab tu ya size hiyo andaa Nondo za 12mm ziwe 65 na za 10mm 65.

Mifuko ya Cement andaa around 70.

Kokoto andaa 16CBM

Mchanga Mende moja.

Gharama za Vinega 700k.(kwenye mashine vinega 5 (100,000/=) ,Juu vinega 20(500,000)/= ,Mchine kukodi 100k
 
Kwa slab tu ya size hiyo andaa Nondo za 12mm ziwe 65 na za 10mm 65.

Mifuko ya Cement andaa around 70.

Kokoto andaa 16CBM

Mchanga Mende moja.

Gharama za Vinega 700k.(kwenye mashine vinega 5 (100,000/=) ,Juu vinega 20(500,000)/= ,Mchine kukodi 100k
Asante kwa makadirio mujarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…