Marine plywood ina ukubwa wa 1.2*2.4 meters na unene wa 16mm. Mara ya mwisho nimeulizia(miezi mi3 iliyopita) minimum price ilikuwa 75,000By kibiashara
Nimemaliza kumwaga zege. Nina mirunda 700 (bei @ 1,500) Marin Board 65 (bei @ 40,000) Mpya zimebaki 5 ambazo naziuza kwa (@ tshs 50,000) na Mbao za 4x2, 6x2 na 10x1 nyingi). zote zimetumika mara moja na ziko katika hali nzuri. kwa anayehitaji zitakuwa available baada ya wiki 2 kuanzia leo. unaweza anza fanya booking mapema na ukajiandaa kuzichukua. ni PM au piga 0713 60 28 00
Mkuu kibiashara
Je marine board moja ina size gani? Bei yake ya sokoni (zikiwa mpya) ni sh. ngapi?
Taarifa hizi zitawasaidia wadau kujua wanahitaji boards ngapi na kiasi cha pesa wanachoweza kusave kwa kununua toka kwako.
Kwa mirunda, sehemu nyingi za rejareja wanauza around sh. 2,500.
Je, iwapo mdau anataka kukodisha tu, unakubaliana na option hiyo?
Asante...
Last edited by a moderator: