Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
What? πHii ina maana wastani wa maendeleo ni takriban 0.35% kwa mwezi. Kwa kasi hii, itachukua zaidi ya miezi 200 (miaka 16) kukamilisha uwanja huu!
Waafrika ni watu wa ajabu sana. Mnahangaika na kuaandaa Afcon 2027 wakati shule nyingi leo hii ni kama magofu na watoto wanakaa kwenye mawe na kujisaidia porini.
Na wewe si una bandari Boss.Ikumbukwe kuwa GSM ndiye supplier wa nondo hapa, uwanja wa arusha na kwenye mradi wa SGR.
Yanga Bingwa.
Naam mimi ni tajiri, sitegemei pesa za wizi wa mali za umma. Bandari nimepewa bure sijaiba.Na wewe si una bandari Boss.
Ila mazingira ya dodoma ni mabaya kupita maelezoUjenzi wa uwanja mpya na wa kisasa wa mpira wa miguu jijini Dodoma unaendelea kushika kasi kubwa chini ya usimamizi wa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ikishirikiana na wakandarasi pamoja na wataalamu wa ujenzi.
Mradi huu unahusisha ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali ya msingi, ikiwa ni pamoja na uwekaji wa nguzo kuu za zege, kusuka vyuma, na kuweka majukwaa ya ngazi kwa ajili ya mashabiki.
Ujenzi huo unafanyika katika Makao Makuu ya Nchi, Dodoma, ukiendeshwa kwa kutumia mitambo mizito kama vile cranes na excavators pamoja na mifumo ya kisasa ya scaffolding na uwekezaji wa tabaka la kuzuia maji kwenye kuta za msingi.
Kazi hii inaendelea kwa kasi hivi sasa ikiwa ni maandalizi kabambe ya kuipokea na kuifanikisha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika za Mwaka 2027 (AFCON 2027).
Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha Tanzania inakuwa na viwanja vyenye viwango vya kimataifa vinavyokidhi matrequirements ya CAF, huku ikishirikiana na Kenya na Uganda chini ya mpango wa "Pamoja AFCON 2027" kukuza michezo, utalii na uchumi wa nchi.
Soma zaidi kuhusu AFCON 2027
- Mradi wa ujenzi wa Uwanja Dodoma ni Kiini Macho?, watengewa Tsh. Bilioni 352 lakini wafikia 5% pekee ndani ya Miezi 14
- Tshs bilioni 302.0 zilitumika kwenye ujenzi wa viwanja vya mashindano ya AFCON 2027
- Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
- CAF yakanusha madai ya kutofanyika AFCON ya mwaka 2027
- AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda wakabidhiwa bendera na CAF
- Serikali kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati kuelekea AFCON 2027
- Arusha: RC Makalla aunda kamati 7 za maandalizi ya AFCON 2027
Dodoma mda wote IPO kama vile kumepigwa mabomuIla mazingira ya dodoma ni mabaya kupita maelezo
Ebu angalia hayo mazingira yaliyozunguka huo uwanja yanatisha
Hakuna nuru kabisa kuwe kampeni ya kuotesha mitiDodoma mda wote IPO kama vile kumepigwa mabomu
Waafrika ni watu wa ajabu sana. Mnahangaika na kuaandaa Afcon 2027 wakati shule nyingi leo hii ni kama magofu na watoto wanakaa kwenye mawe na kujisaidia porini.
Asikidanganye mtu hakuna sehemu nzuri kama dodoma sababu huko hakuna mvua za mara kwa mara, leo shughuli nyingi hukwama wakati wa mvua dodoma ikinyesha wiki hii inapotea miez SITA, mkuu tukiipanga dodoma vizuri itakuwa bonge Moja la jiji la kisasa sababu ipo wazi haitaji gharama kusafisha vichaka kukata miti nk ni ujenzi unaanza Moja kwa Moja,Ila mazingira ya dodoma ni mabaya kupita maelezo
Ebu angalia hayo mazingira yaliyozunguka huo uwanja yanatisha
Na ukitaka ukamatwe chap piga picha na post hayo magofu wakati ndio uhalisia ulivyo.π π π utasakwa kama muhujumu uchumi.Waafrika ni watu wa ajabu sana. Mnahangaika na kuaandaa Afcon 2027 wakati shule nyingi leo hii ni kama magofu na watoto wanakaa kwenye mawe na kujisaidia maporini.