Ujenzi wa uwanja wa Simba .umefikia wapi?...au tumepigwa kitu kizito

Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa.......

Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare kuanzishwa kwa michango ya kujenga uwanja na hatuoni feedback yeyote

Swali je tumepigwa kitu kizito????
View attachment 2186860

Kazi ipo mkuu.
 
Umeshindwa hata kupanga kachumba kamoja ujitegemee utaishi kwa dada yako hadi lini?
 
Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa.......

Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare kuanzishwa kwa michango ya kujenga uwanja na hatuoni feedback yeyote

Swali je tumepigwa kitu kizito????
View attachment 2186860
Mkuu naona kama shida yako ni kupata kakibarua ka kuchanganya zege hivyo unaona kama wanakuchelewesha vile!! Usiwe na shaka ajira utapata muda ukifika
 
Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa.......
Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare kuanzishwa kwa michango ya kujenga uwanja na hatuoni feedback yeyote. Swali je tumepigwa kitu kizito????
Hatujapigwa, tunaenda na mipango, ya muda mrfupi na ya muda mrefu. Kwa sasa macho yote CAF CC. Hivi ule uwanja aliougawa Makonda kule Kigamboni, umefikia wapi? Maana walau Simba wanao wa mazoezi

1649939034084.png
 
Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa.......

Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare kuanzishwa kwa michango ya kujenga uwanja na hatuoni feedback yeyote

Swali je tumepigwa kitu kizito????
View attachment 2186860
Yanga bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa.......

Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare kuanzishwa kwa michango ya kujenga uwanja na hatuoni feedback yeyote

Swali je tumepigwa kitu kizito????
View attachment 2186860
Umechangia sh ngapi wewe uto? aliyetoa wazo la kujengwa uwanja baada ya babra kubuguziwa ni C.MAGORI
 
Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa.......

Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare kuanzishwa kwa michango ya kujenga uwanja na hatuoni feedback yeyote

Swali je tumepigwa kitu kizito????
View attachment 2186860
Hapana ni chenye ncha kali
 
We uko wapi mbona wamemaliza hivi sasa wanafunha mataa
 
Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa.......

Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare kuanzishwa kwa michango ya kujenga uwanja na hatuoni feedback yeyote

Swali je tumepigwa kitu kizito????
View attachment 2186860
Hindi janja janja tu hahahahaaaaaa
 
Wajinga ndio waliwao..........kwahiyo ikitokea ukapata kundi LA kutosha la wajinga,ww ishi nalo tu
 
Back
Top Bottom