Ujenzi wa uwanja wa Simba .umefikia wapi?...au tumepigwa kitu kizito

Wajinga ndio waliwao..........kwahiyo ikitokea ukapata kundi LA kutosha la wajinga,ww ishi nalo tu
Kabisa mkuu......mhindi katumia ujinga wa MAKOLO kuweka fulsa
 
Ajabu mashabiki wa upotolo ndio wanaongoza kuhoji mambo ya ndani ya simba. Wakati litimu lao libovu limetolewa mapema kimataifa wao ndio wanaongoza kuifanyia figisu simba kimataifa
 
Maendeleo hayana chama mkuu
 
Back
Top Bottom