Ujenzi wa uwanja wa Simba .umefikia wapi?...au tumepigwa kitu kizito


Kazi ipo mkuu.
 
Umeshindwa hata kupanga kachumba kamoja ujitegemee utaishi kwa dada yako hadi lini?
 
Mkuu naona kama shida yako ni kupata kakibarua ka kuchanganya zege hivyo unaona kama wanakuchelewesha vile!! Usiwe na shaka ajira utapata muda ukifika
 
Hatujapigwa, tunaenda na mipango, ya muda mrfupi na ya muda mrefu. Kwa sasa macho yote CAF CC. Hivi ule uwanja aliougawa Makonda kule Kigamboni, umefikia wapi? Maana walau Simba wanao wa mazoezi

 
Yanga bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umechangia sh ngapi wewe uto? aliyetoa wazo la kujengwa uwanja baada ya babra kubuguziwa ni C.MAGORI
 
Hapana ni chenye ncha kali
 
We uko wapi mbona wamemaliza hivi sasa wanafunha mataa
 
Hindi janja janja tu hahahahaaaaaa
 
Wajinga ndio waliwao..........kwahiyo ikitokea ukapata kundi LA kutosha la wajinga,ww ishi nalo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…