Ujenzi wa uwanja wa Simba .umefikia wapi?...au tumepigwa kitu kizito

Mkuu naona kama shida yako ni kupata kakibarua ka kuchanganya zege hivyo unaona kama wanakuchelewesha vile!! Usiwe na shaka ajira utapata muda ukifika
Hapna mkuu..., nlichangia so ineed feedback on time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…