Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba contact details za kampuni yako mkuu.Lakini pia mkiwa na kazi za ujenz mnaweza kunipa kazi maana ninakampuni ya ujenzi
Ushauri wowote wa ujenzi mnaweza kuniuliza hapahapa au pm
Vipi kwa uzoefu wako unahisi kwaniniKampuni wa nu inaitwa Tansmart Limited, P.O Box 1183 Dar es salaam.ni building and civil contractors, namba yangu ni 0755678173. but tunafanya kazi sehem yoyote . unaweza pia Ku verify details ya kampuni yangu kwenye website ya bodi ya wakandarasi ambayo ni www.crbtz.org
Ni swali pana saana lakini ntajitahidi kufafanua sababu kubwa zinazopelekea wakandarasi wa ndani kutopewa tander za serikali. Nina uzoefu mkubwa katika hili Maana nimefanya kwa consultant, na kwa wakandarasi wakubwa ( class one) na pia nilishafanya NHC kwa miaka kadhaa. Baadae ntajibu hili swaliVipi kwa uzoefu wako unahisi kwanini
wakandarasi wengi wa ndani ya nchi hawapewi tender na serikali?
Tofari za kuchoma na za cement..... hipi ni cost kubwa.... kwa ujenzi haswa wa godown......Ushauri wowote wa ujenzi mnaweza kuniuliza hapahapa au pm
Ningekujibu lakini niko busy saana kuna kazi imenibana saana.Tofari za kuchoma na za cement..... hipi ni cost kubwa.... kwa ujenzi haswa wa godown......
Ni kwa haraka haraka kwa ujenzi wa kuunga unga... nahitaji tsh ngap kukamilisha ujenz wa godown lenye ukubwa wa kuingiza semi mbili. Ndani. Zilizokaa mkabala....... na geti nikafunga
Sent from "La -Vista"
Spacecing btn nguzo ni mita tatu zenye nondo nne,, ground beam nondo nne za m12 naso
mkuu nimeshuindwa kukusaidia kwenye senyenge sikujua unataka ya quality gani na spacing btn column iwe ngapi