Ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini

KESHa

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
26
Reaction score
10
Ndugu zangu nimekuwa na nia ya kutumia fursa iliyotangazwa na WIZARA YA NISHATI ya ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini vya gharama nafuu kupitia EWURA nimeona natakiwa kupata KIBALI kabla ya ujenzi ila nimekosa sehemu nayotakiwa kupata kibali hiki naomba mwenye ujuzi na hili anielekeze maana hata kwenye WEBSITE ya EWURA sjaliona hili msaada tafadhali.
 
Acha kufatilia vitu vya msingi kama hivi kwenye Mtandao au kupiga simu, utapewa majibu mepesi. Mguu kwa mguu mpaka EWURA, wakikwambia nenda TPDC nenda, wakikwambia nenda Wizara ya Nishati nenda tena kwa mguu sio simu
 
Ulipata kibali. Kama hukupata tutafute boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…