Ndugu zangu nimekuwa na nia ya kutumia fursa iliyotangazwa na WIZARA YA NISHATI ya ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini vya gharama nafuu kupitia EWURA nimeona natakiwa kupata KIBALI kabla ya ujenzi ila nimekosa sehemu nayotakiwa kupata kibali hiki naomba mwenye ujuzi na hili anielekeze maana hata kwenye WEBSITE ya EWURA sjaliona hili msaada tafadhali.