Hii imetokea kwa jrani wa jrani yangu huko mbopo madale. Jamaa wameanza jenga msingi hakuna nafasi jirani akawastua hivi shimo la maji machafu mtaliweka wapi. Ujenzi ukaishia japo kwenye msingiHuyu bwana akiwa huko aliko aliamua kujenga nyumbani. Aliomba ndugu ammtafutie kiwanja na kufanya inanla ya pesa. Baada ya malipo kukamilika hata mimi ninashangaa kuwa hakuona ukubwa wa kiwanja katika karatasi ya mauziano. Alanza kuşkulular na kibali cha ujenzi na kutuma pesa za ujenzi.
Alifika nyumba ikiwa kwenye linter na hakuna nafasi ya kuchimba shimo la maji machafu. Huyu ndugu yake aliyesimamia jengo aliacha nafasi ya parking tu mbele ya nyumba. Ilibidi ambembeleze jirani kumuuzia eneo lake. Ujenzi wa whatsup Una madhara na hasara.
Hajauza na mwenye eneo naye naskia yuko SA alikuwa natuma pesa. Imekomea hapo sijui wanasubiri wauzie eneo na jrani jirani naye anakomaa kuwa eneo lake dogo hana sehemu ya kuuza na msingi umekamilika.Aliuza au alivunja nyumba?
Abomoe msingi na kutafuta ramani ya hali yake.Hajauza na mwenye eneo naye naskia yuko SA alikuwa natuma pesa. Imekomea hapo sijui wanasubiri wauzie eneo na jrani jirani naye anakomaa kuwa eneo lake dogo hana sehemu ya kuuza na msingi umekamilika.
Nahisi akiwaza gharama aliyoingia maana kiwanja kiko kwenye slope gharama za kubalance ule msingi akiwaza kubomoa lazima chozi limtokeAbomoe msingi na kutafuta ramani ya hali yake.
Maumivu yake unaweza kiona picha ya harusi ya wazazi wako ingawa ndoa ilifungwa ingali hujazaliwa.Nahisi akiwaza gharama aliyoingia maana kiwanja kiko kwenye slope gharama za kubalance ule msingi akiwaza kubomoa lazima chozi limtoke
Acha kabisa mkuuMaumivu yake unaweza kiona picha ya harusi ya wazazi wako ingawa ndoa ilifungwa ingali hujazaliwa.
Kitu nilichojifunza maisha ya mwanadamu hayatengani na ujenziMaisha halisi yamenisogeza kwenye ujenzi dear.
Ndoto ya kila binadamu ni kuwa makazi yake, changamoto za uchumi na ukosefu wa kujidhatiti ndio inapelekea baadhi ya watu kuishi kwao au kwenye nyumba za kupangisha.Kuwa mtu mzima bado unalala kwenye nyumba ya wazazi ni kipaji na wanakiweza wachache.
Kungekua na government subsidies affordable homes mijini, yaani upate flat ya chumba kimoja kwa 75,000-100,000 ingesaidia watu wengi kujiweka vizuri kiuchumi kabla ya kuanza kujenga.Ndoto ya kila binadamu ni kuwa makazi yake, changamoto za uchumi na ukosefu wa kujidhatiti ndio inapelekea baadhi ya watu kuishi kwao au kwenye nyumba za kupangisha.
Ingesaida sana, lakini serikali zetu hizi mwananchi ni kipaumbele chao cha mwishoKungekua na government subsidies affordable homes mijini, yaani upate flat ya chumba kimoja kwa 75,000-100,000 ingesaidia watu wengi kujiweka vizuri kiuchumi kabla ya kuanza kujenga.
Pesa ya mkupuo haijengi nyumba labda iwe ni ya European lottery wings..