coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,264
- 2,676
Kaishi Marekani Akon lakini ana wake 3+, mazingira yakishakuathiri huwezi badilika kirahisiMtu unaishi ulaya ila umashindwa kutumia hata akili za watu wa ulaya. Acha waoigwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaishi Marekani Akon lakini ana wake 3+, mazingira yakishakuathiri huwezi badilika kirahisiMtu unaishi ulaya ila umashindwa kutumia hata akili za watu wa ulaya. Acha waoigwe tu
Bila shaka sio wamerekan hao wake zakeKaishi Marekani Akon lakini ana wake 3+, mazingira yakishakuathiri huwezi badilika kirahisi
Hiv watu kwann huwa wanakosa utu na fedha ya mtu tena aliye ndugu yako na kaonyesha kukuamini???Hii imetokea kwa jrani wa jrani yangu huko mbopo madale. Jamaa wameanza jenga msingi hakuna nafasi jirani akawastua hivi shimo la maji machafu mtaliweka wapi. Ujenzi ukaishia japo kwenye msingi
Acha tu mkuu. Nyumba za kusimamiwa na ndugu ama utatumia gharama mara 3 au hata nyumba yenyewe itakuwa kama kibandaHiv watu kwann huwa wanakosa utu na fedha ya mtu tena aliye ndugu yako na kaonyesha kukuamini???
Hapo usikute jamaa katuma oesa anunuliwe kiwanjankikubwa wao wamenunua tu mita 20 x 20.
Mimi siwez jenga kwenye kijaruba cha kulima mchicha kama hicho cha 20x20.
Better kukaa nje ya mji ukanunu ekari mzima au zaid then tia mjengo hapo
Sky upo kwenye tasnia ya ujenzi nadhani, mara kadhaa umekuwa unaweka nyuzi za ushauri juu ya ujenzi.
Tunajifunza vingi kwako kwenye ujenzi.
Ninavyoelewa ukishaona kiwanja unaanza kufikiria nyumba itatazama upande gani. Başda ya hapo unawaza sehemu ya shimo la maji machafu, sehemu ya kuanikia nguo na ikiwezekana shimo la maji safi ya mvua (kama unaweza si lazima).Kuna jamaa, tena ni afisa wa serikali alijenga ramani ikaatamia kiwanja chore, alilazimika kununua 1.5m X 30m sawa na bei aliyonunulia uwanja ili angalau aweke uzio.
Na jamaa alinunua kiwanja mwenyewe, anatafuta ramani mwenyewe, na akawepo wakati wa ujenzi
Ulipotea Sana. Welcome backHuyu bwana akiwa huko aliko aliamua kujenga nyumbani. Aliomba ndugu ammtafutie kiwanja na kufanya inanla ya pesa. Baada ya malipo kukamilika hata mimi ninashangaa kuwa hakuona ukubwa wa kiwanja katika karatasi ya mauziano. Alanza kuşkulular na kibali cha ujenzi na kutuma pesa za ujenzi.
Alifika nyumba ikiwa kwenye linter na hakuna nafasi ya kuchimba shimo la maji machafu. Huyu ndugu yake aliyesimamia jengo aliacha nafasi ya parking tu mbele ya nyumba. Ilibidi ambembeleze jirani kumuuzia eneo lake. Ujenzi wa whatsup Una madhara na hasara.
Haswaa. Ina maana ameshinda kujua ukubwa wa kiwanja chake. Angalau aseme nyumba iwe na nafasi ya mita kadhaa ya kuchimba karo la chooMtu unaishi ulaya ila umashindwa kutumia hata akili za watu wa ulaya. Acha waoigwe tu
Sky upo kwenye tasnia ya ujenzi nadhani, mara kadhaa umekuwa unaweka nyuzi za ushauri juu ya ujenzi.
Tunajifunza vingi kwako kwenye ujenzi.