Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Hizi zipo aina mbili kwa upande wa nishati inatumia nguvu(manual) au kutumia mafuta inatgemea hitaji lakoSpecifications zake zikoje?Nishati gani inatumia?Kwa siku inatoa Tofali ngapi?Ukubwa wa Tofali? Tofali zinajengwaje?Zinadumu Miaka mingapi?
Kwa nini miradi ya Serikali hasa Shule na Afya hawazitumii?
Hakunaga ujenzi wa bei nafuu bali ujenzi hafifu na imaraHello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo
Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana
Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba au kufanya mambo mengiiiiiiiiii kama mchana
Mashine ya interlock ni 850000 tu (laki nane na nusu tu) tupo dar es salaam
View attachment 3002608
Nimeziweka sana post zangu nyingi humu ngoja niupdate mkuumkuu weka na picha ya hiyo mashine ya interlock