House4Sale Ujenzi

House4Sale Ujenzi

Eyeson Property

Senior Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
197
Reaction score
42
Moja Kati ya Apartment 10 za Nyumba za Mteja Wetu wa MBWENI ikiwepo Kwenye Hatua za Finishing.

Nyumba ina Vyumba Viwili(2) vya Kulala
Chumba Kimoja ni Self

Ndani ya Hii Nyumba Kuna:-
Dinning Room
Sitting Room
Public Toilets
Store
Kitchen

Tupigie kwa

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
EYESONEPROPERTY TANZANIA LTD

DAR ES SALAAM TANZANIA

Tunajenga Mkoa Wowote & Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako Pamoja na Kuingia Mkataba wa UJENZI Kisheria wa NYUMBA Yako.

Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: Eyeson - properties and real estate @ Dar es Salaam, Tanzania @ Dar es Salaam, Tanzania
IMG_20180428_110644_524.jpg
IMG_20180428_110644_525.jpg
IMG_20180428_110448_644.jpg
 
Moja Kati ya Apartment 10 za Nyumba za Mteja Wetu wa MBWENI ikiwepo Kwenye Hatua za Finishing.

Nyumba ina Vyumba Viwili(2) vya Kulala
Chumba Kimoja ni Self

Ndani ya Hii Nyumba Kuna:-
Dinning Room
Sitting Room
Public Toilets
Store
Kitchen

Tupigie kwa

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
EYESONEPROPERTY TANZANIA LTD

DAR ES SALAAM TANZANIA

Tunajenga Mkoa Wowote & Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako Pamoja na Kuingia Mkataba wa UJENZI Kisheria wa NYUMBA Yako.

Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: Eyeson - properties and real estate @ Dar es Salaam, Tanzania @ Dar es Salaam, TanzaniaView attachment 762177View attachment 762178View attachment 762179

Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani kuijenga mpaka kuimaliza - Just estimates!
 
Tsh
Nyumba ya vyumba vi4 +master vya ukubwa wa mitre 6 kwa 8 na vyoo/bafu zake kwa ndani, sitting room ya ukubwa wa mitre 10 kwa 12 na public toilets, family hall iwe na ukubwa wa mita 12 kwa 12 na public toilets, madrisha makubwa ya aluminium.

Je itacost ngapi mpaka mnanikabidhi?
Million 58
 
Back
Top Bottom