Ujerumani atatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2018

I love DEUCTH LAND, jezi zao nzuri zinaashiria ushindi
 
hivi hyo belgium mbona mnaikuza sana ina lipi jipya?? au kisa qualifying?? labda nkukumbushe tu serbia and montenegro ilikua ina majina makubwa enzi hizo inaqualify world cup 2006 na iliruhusu bao mbili tu katika mechi zote kumi za kufuzu world cup ila kilichowapata world cup wote tunakumbuka

huyo belgium ana majina ila kocha hawana na chemistry hakuna kabisa..... ujerumani anachowazidi ni kwamba wachezaji wake wengi wamekulia germany na kucheza ligi ya ndani tofauti na hizo timu zinakusanya mastaa wakati wa mechi za kimataifa tu ndio maana walipoteana mechi ya wales wakala 3!!
 
Hahahaha eti brazil siku zote ni tishio 😀😀

Hivyo vidada na neema wao watakula nyingi sana safari hii.

Natabiri Argentina, Germany Shafti, Spain,Croatia ama France. Timu hizi mojawapo inaondoka na ndoo. Sio england wala sisters brazil
 
Naiona Nigeria ikija kivingine kabisa kombe la dunia 2018 watavunja rekodi zilizofikiwa na nchi za Africa watafika Semi final
Watachukua mshindi wa tatu
Ila bingwa atakuwa Ufaransa.
Team zitakazofika semi final
German France Nigeria na England
 
Mkuu kuifunga Argentina friendly match ndio inawapa matumaini!!!! ARGENTINA haikuwa serious, kumbuka kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa kirafiki ndio maana hata great players hawakuhusishwa.

Wakutane world cup uone Hao nigeria kitakachowakuta kama sio 4 0 bac 5 0.

In short haikuwa mechi muhimu kwao na ndio maana hawakulazimika kujituma kiivyo.
 
Izo ni ndoto kq ndoto nyingine we endelea kuota ivyoivyo mkuu
 
Hahahaha eti brazil siku zote ni tishio 😀😀

Hivyo vidada na neema wao watakula nyingi sana safari hii.

Natabiri Argentina, Germany Shafti, Spain,Croatia ama France. Timu hizi mojawapo inaondoka na ndoo. Sio england wala sisters brazil
Naona Umekunywa damu mbichi ya Argentina,Wewe kila kitu cha Brazil unakichukia,hujawahi ku Appreciate chochote cha Brazil,Ndo maana kipindi kile mlipokula 3:0 ulikimbia hili jukwaa mwezi mzima.
Hiyo Argentina unayoisema itachukua WC ni ipi kwanza?Ni hii iliyo dis-organized?.Timu inayomtegemea mchezaji mmoja?,Argentina labda wabadilike,la sivyo hawatofika hata quarter final
 
Hahahaha eti brazil siku zote ni tishio 😀😀

Hivyo vidada na neema wao watakula nyingi sana safari hii.

Natabiri Argentina, Germany Shafti, Spain,Croatia ama France. Timu hizi mojawapo inaondoka na ndoo. Sio england wala sisters brazil
Utakufa kwa kihoro,, madada poa Argentina ambao hata kufuzu kwenyewe mpk mbeleko. Mmepigwa 4 na Nigeria sasa hivi mnaugulia maumivu ya kuvujishwa damu.
 
Hivi unajua kuwa Nigeria iliifunga Argentina world cup 2014
Ikaja kuharibiwa mipango na ufaransa baada ya kuvunjwa mguu kiungo muhimu kabisa OGENYI ONAZI na matuid ndipo ufaransa ikashinda?
 
Utakufa kwa kihoro,, madada poa Argentina ambao hata kufuzu kwenyewe mpk mbeleko. Mmepigwa 4 na Nigeria sasa hivi mnaugulia maumivu ya kuvujishwa damu.

Iyo timu unayosema ya mashoga ikibeba ndoo utajisikiaje Mkuu??
 
Ujerumani hafiki kokote kwani tayari ameshabeba lile kombe lenye gundu La mabara wangalie waliomtangulia kulichukua hlo kombe.
 
Kiukweli kabisa GERMANY ndio anapewa nafasi kubwa ya kuchukua, ukibisha jua wewe sio mpenzi wa mpira bali ni hawara tu.
 
Hivi unajua kuwa Nigeria iliifunga Argentina world cup 2014
Ikaja kuharibiwa mipango na ufaransa baada ya kuvunjwa mguu kiungo muhimu kabisa OGENYI ONAZI na matuid ndipo ufaransa ikashinda?

Sasa mkuu!! Unataka kumfananisha tembo na kuku wapi na wapi!!!! Kufungwa mara mbili or 3 times sio sababu,,, Muda utaongea,,, subiri w/c sio mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…