Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hyo belgium mbona mnaikuza sana ina lipi jipya?? au kisa qualifying?? labda nkukumbushe tu serbia and montenegro ilikua ina majina makubwa enzi hizo inaqualify world cup 2006 na iliruhusu bao mbili tu katika mechi zote kumi za kufuzu world cup ila kilichowapata world cup wote tunakumbukaKwa ulaya mwamba pekee wa kuisumbua Ujerumani ni Belgium, na Kwa Latin America labda Brazil ndio wanaweza kuisumbua ujerumani. Kwa Africa hakuna na Asia hakuna.
Karata zangu za nani anaweza kutwaa ubingwa wa soka duniani ni...
1/Ujerumani.
2/Brazil.
3/Belgium.
Wafaransa bado wachanga sana, Argentina hawatabiriki tena. Brazil siku zote ni tishio kwenye kombe la dunia, yote hayo ni kwa sababu za Kihistoria, Uzoefu, Hasama kutoka kwa wananchi wao, Vipaji vya soka, asili ya kandanda lao na Maandalizi ya mwisho mwisho kuelekea kwenye mashindano hayo yanakuwa makubwa sana kutokea benchi la Ufundi. Soka kwao ni kama imani.
Kwa ulaya mwamba pekee wa kuisumbua Ujerumani ni Belgium, na Kwa Latin America labda Brazil ndio wanaweza kuisumbua ujerumani. Kwa Africa hakuna na Asia hakuna.
Karata zangu za nani anaweza kutwaa ubingwa wa soka duniani ni...
1/Ujerumani.
2/Brazil.
3/Belgium.
Wafaransa bado wachanga sana, Argentina hawatabiriki tena. Brazil siku zote ni tishio kwenye kombe la dunia, yote hayo ni kwa sababu za Kihistoria, Uzoefu, Hasama kutoka kwa wananchi wao, Vipaji vya soka, asili ya kandanda lao na Maandalizi ya mwisho mwisho kuelekea kwenye mashindano hayo yanakuwa makubwa sana kutokea benchi la Ufundi. Soka kwao ni kama imani.
Naiona Nigeria ikija kivingine kabisa kombe la dunia 2018 watavunja rekodi zilizofikiwa na nchi za Africa watafika Semi final
Watachukua mshindi wa tatu
Ila bingwa atakuwa Ufaransa.
Team zitakazofika semi final
German France Nigeria na England
Naona Umekunywa damu mbichi ya Argentina,Wewe kila kitu cha Brazil unakichukia,hujawahi ku Appreciate chochote cha Brazil,Ndo maana kipindi kile mlipokula 3:0 ulikimbia hili jukwaa mwezi mzima.Hahahaha eti brazil siku zote ni tishio 😀😀
Hivyo vidada na neema wao watakula nyingi sana safari hii.
Natabiri Argentina, Germany Shafti, Spain,Croatia ama France. Timu hizi mojawapo inaondoka na ndoo. Sio england wala sisters brazil
Utakufa kwa kihoro,, madada poa Argentina ambao hata kufuzu kwenyewe mpk mbeleko. Mmepigwa 4 na Nigeria sasa hivi mnaugulia maumivu ya kuvujishwa damu.Hahahaha eti brazil siku zote ni tishio 😀😀
Hivyo vidada na neema wao watakula nyingi sana safari hii.
Natabiri Argentina, Germany Shafti, Spain,Croatia ama France. Timu hizi mojawapo inaondoka na ndoo. Sio england wala sisters brazil
Nasikia Argentina timu ya mashoga!Nasikia brazili ni timu ya wanawake.
Kina Di Maria wapaka poda...hahahhaNasikia Argentina timu ya mashoga!
Hivi unajua kuwa Nigeria iliifunga Argentina world cup 2014Mkuu kuifunga Argentina friendly match ndio inawapa matumaini!!!! ARGENTINA haikuwa serious, kumbuka kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa kirafiki ndio maana hata great players hawakuhusishwa.
Wakutane world cup uone Hao nigeria kitakachowakuta kama sio 4 0 bac 5 0.
In short haikuwa mechi muhimu kwao na ndio maana hawakulazimika kujituma kiivyo.
Utakufa kwa kihoro,, madada poa Argentina ambao hata kufuzu kwenyewe mpk mbeleko. Mmepigwa 4 na Nigeria sasa hivi mnaugulia maumivu ya kuvujishwa damu.
Kiukweli kabisa GERMANY ndio anapewa nafasi kubwa ya kuchukua, ukibisha jua wewe sio mpenzi wa mpira bali ni hawara tu.
Hivi unajua kuwa Nigeria iliifunga Argentina world cup 2014
Ikaja kuharibiwa mipango na ufaransa baada ya kuvunjwa mguu kiungo muhimu kabisa OGENYI ONAZI na matuid ndipo ufaransa ikashinda?