secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Bado goli 1 unaagiza nyagi ya katiUjerumani hatuna matani hata kidogo! Lazima tuwafunge hawa wapuuzi hata kama dakika zinebaki chache. Tumewaachia kidogo tu wameshaleta mazoea!
Huruma wala si malezi.
😂Wajinga sana hawa ndovu
Hakika!Bado goli 1 unaagiza nyagi ya kati
Kuweni wazalendo kwa kushabikia wenzenu kutoka bara moja.Wajinga sana hawa ndovu
Huyo timu yake ni Afrika kusini unamwita wa nini?
Labda kuna mtu mwengine anatumia simu yake siyo kawaida yake.Kaka na wewe unatukana au kwa vile ni mpira hakuna dhanbi
Morocco wanakusubiri uwashabikieKuweni wazalendo kwa kushabikia wenzenu kutoka bara moja.
Kitu kama hicho YesLabda kuna mtu mwengine anatumia simu yake siyo kawaida yake.
Mimi huwa sibeti, labda hao Busu la Kenge's gang.Acheni kubeti madogo, mhindi kanenepeana mpka kawa kama ana kibumbu, ona sasa👇 View attachment 3612157
Kaka hilo sio tusi bhana huoni mods wameruhusu uzi uruke hewaniKitu kama hicho Yes
Wapi boss tukesheHuyo timu yake ni Afrika kusini unamwita wa nini?
Bado wana roho ya kiHitler.Nachowapendaga hawa jamaa huwa hawachekeshi. Wapo serious na maisha. Na hawa wangeitwala Tanganyika hadi uhuru, tungekuwa mbali sana kimaendeleo.