Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Hujalala tu jamani au wenzetu mpo nje za nchi inasoma saa 11 jioniMie mwisho leo
Hujalala tu jamani au wenzetu mpo nje za nchi inasoma saa 11 jioniMie mwisho leo
Kwa hili nakuunga mkono de Nyabumbu hapa bange umeweka pembeni umetumia akili yako ndogo ya kuzaliwaNaiombea sana na nishabiki wao mkubwa wa Morocco licha ni kobaz
Bange hizoLabda kuna mtu mwengine anatumia simu yake siyo kawaida yake.
We nae ni mbabu 2010 lol 😆Ni ugonjwa wa moyo kiukweli, niliacha huu ufala muda sana, toka enzi za akina Asamoah Gian 2010... 😊
We nae ni mbabu 2010 lol 😆
Shikamo coz hapo kuna no ni birthday yangu sijui mwaka lol 😆 😂2010 juzi tuu hapo we mtoto, sasa kwa taarifa yako 1998 nimecheki WC!
2010 hujavunja ungo wewe! 😊
Nini kinaendelea hapa maana sie tushalewa tayari hutuelewi2010 juzi tuu hapo we mtoto, sasa kwa taarifa yako 1998 nimecheki WC!
2010 hujavunja ungo wewe! 😊
Shikamo coz hapo kuna no ni birthday yangu sijui mwaka lol 😆 😂
Hatuwezi kua wakubwa wote muhimu kicwani nipo timamu😂Mdoto mdogo wewe.. TID anasema hivyo. 😊
Nini kinaendelea hapa maana sie tushalewa tayari hutuelewi
Hatuwezi kua wakubwa wote muhimu kicwani nipo timamu😂
Matendo yangu ndiyo kipimo changu yanazungumza zaidi kuliko manenoUnawezaje kupima utimamu wako? 😊
Matendo yangu ndiyo kipimo changu yanazungumza zaidi kuliko maneno
Nawe pia babu 😊Sawa, kila la kheri binti. 😊
My teacher(in pombe's voice)Matendo yangu ndiyo kipimo changu yanazungumza zaidi kuliko maneno
OkMy teacher(in pombe's voice)
Nawe pia babu 😊
Babu kuna kitu nahisi kuhusu wewe ila 🤐🤐 haya baki doriaLala sasa mtoto mzuri, usituige sisi mababu. 😊
Naona unampa darasa mwamba ila nikuhakikishie tu Jf wote wapo timamu hakuna loose nut hata mmoja becoz one of the criteria to join jf you must be mentally fit
Okay 👍Naona unampa darasa mwamba ila nikuhakikishie tu Jf wote wapo timamu hakuna loose nut hata mmoja becoz one of the criteria to join jf you must be mentally fit