#COVID19 Ujerumani kuongoza kwa maambukizi ya Corona inafikirisha

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,386
Reaction score
5,325
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu.

Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
 
Kwani nao wamegoma kuchanjwa? Huu ugonjwa ni wa kimagumashi kichizi, uko kibiashara sana
 
Wanazungumzia Busta nyingine Tena. Nadhani huu ugonjwa haupendi shobo...maana wahindi walipotoa chanjo walikiona.
 
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu.

Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
Usilolijua litakusumbua sana!!
 
Alikuwa ni zaidi ya kiongozi
Wajinga ndio mnawaza ujinga wenu.

Kinachoiokoa Afrika na corona ni lockdown za wazungu maana ugonjwa ukianza kwao wanazuia safari za kuingia na kutoka Mataifa yao na mengine hivyo kufanya Afrika ugonjwa usije.
 
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu.

Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
Hebu nieleweshe; hizo chanjo walizochanjwa zinatoa kinga ya kudumu maana kwa hali hii inafikirisha sana.... (Seems There're More Questions than Answers)
 
Wajinga ndio mnawaza ujinga wenu..

Kinachoiokoa Afrika na corona ni lockdown za wazungu maana ugonjwa ukianza kwao wanazuia safari za kuingia na kutoka Mataifa yao na mengine hivyo kufanya Afrika ugonjwa usije.
Huna akili
 
Back
Top Bottom