#COVID19 Ujerumani kupiga marufuku wasiochanja kununua bidhaa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
● Ujerumani itapiga marufuku watu ambao hawajachanjwa kupata huduma madukani na baa, isipokuwa kama wamepona hivi karibuni kutoka kwa Covid

● Kansela Angela Merkel anasema agizo la chanjo ya nchi nzima linaweza kuwekwa nchini Ujerumani kuanzia Februari 2022.

● Serikali ya Uingereza inatia saini mikataba ya kununua dozi milioni 114 zaidi za chanjo ya Pfizer na Moderna ili kutumia mnamo 2022 na 2023.

Hizi updates zitakwambia kwamba COVID is here to stay kama ilivyo kwa NGOMA / HIV
 
Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni side effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.
 
Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni negative effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.
Yaani chanjo ya hii dhahama ni kizungumkuti
 
● Ujerumani itapiga marufuku watu ambao hawajachanjwa kupata huduma madukani na baa, isipokuwa kama wamepona hivi karibuni kutoka kwa Covid

● Kansela Angela Merkel anasema agizo la chanjo ya nchi nzima linaweza kuwekwa nchini Ujerumani kuanzia Februari 2022.

● Serikali ya Uingereza inatia saini mikataba ya kununua dozi milioni 114 zaidi za chanjo ya Pfizer na Moderna ili kutumia mnamo 2022 na 2023.

Hizi updates zitakwambia kwamba COVID is here to stay kama ilivyo kwa NGOMA / HIV

Wajinga sisi tukisikia hivi huko, zetu ni kuwazodoa. Mjinga hajulikani.

Kazi kweli kweli.
 
Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni negative effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.

Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni negative effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.
alikuwa na underlying complications zingine?
sababu mimi mwezi wa 8 nilimpeleka bibi yangu.ni mzee ana more than 100 yrs.
haikuwa nia nichanje but nilimpeleka yeye km chambo.nilivyoona yuko ok na mimi nilichoma.hapo kumbuka huyu bibi yangu alikuwa akimsogelea mama kipindi anaugua kovid na kulala nae..tulimzuia tukashindwa.
mama alifariki mwez wa 4.baadae mwez wa 6 sista pia ilimuondoa na chenyewe kibibi kilikuwa kinasogea hapo..
hadi leo kipo na kimeenda zake ulaya huko kubadili upepo.
 
Hicho kibibi tukione😎😎
 
Alikuwa ana stroke upande wa kushoto kwa mwaka wa tano ila alikuwa anatembea tena bila fimbo, alipochoma sukari ikapanda haikuwahi shuka akaacha kula kabisa, ajabu bibi ambaye ni mama yake alichoma na mpaka sasa anadunda
 
Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni negative effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.
Ohoo pole sana Nafaka . Pengine alikuwa na matatizo mengine yalisababisha chanjo ilete shida? Kuna wazee wengi wamechoma na haikuwa na madhara yoyote zaidi ya side effect za kawaida. Alichomea Bongo? Dawa gani? Mimi umakini wa waganga na manesi wa Bongo siku zote hunipa shaka. Usije kuta walimchoma dawa iliyoharibika tayari kwa sababu handling ya hizi chanjo nayo inahitaji umakini. Au kulikuwa na uzembe mwingine. Kuna mama mmoja alichoma sindano ya malaria naye akafariki wakati alikuwa haumwi sana. Ilijagundulika kuwa na uzembe wa yule mchomaji.
 
pole sn boy
 
Alichoma hapa hapa Bongo, dawa sijui maana sikuwepo wakati anachoma. Dr alisema kuwa mwili wake ulishindwa kuhimili effects za dawa
 
Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni negative effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.
Pole sana mkuu..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
● Ujerumani itapiga marufuku watu ambao hawajachanjwa kupata huduma madukani na baa, isipokuwa kama wamepona hivi karibuni kutoka kwa Covid

● Kansela Angela Merkel anasema agizo la chanjo ya nchi nzima linaweza kuwekwa nchini Ujerumani kuanzia Februari 2022.

● Serikali ya Uingereza inatia saini mikataba ya kununua dozi milioni 114 zaidi za chanjo ya Pfizer na Moderna ili kutumia mnamo 2022 na 2023.

Hizi updates zitakwambia kwamba COVID is here to stay kama ilivyo kwa NGOMA / HIV
Angela Merkel bado ni kansela, au umechelewa kuisoma hiyo taarifa?
 
● Ujerumani itapiga marufuku watu ambao hawajachanjwa kupata huduma madukani na baa, isipokuwa kama wamepona hivi karibuni kutoka kwa Covid

● Kansela Angela Merkel anasema agizo la chanjo ya nchi nzima linaweza kuwekwa nchini Ujerumani kuanzia Februari 2022.

● Serikali ya Uingereza inatia saini mikataba ya kununua dozi milioni 114 zaidi za chanjo ya Pfizer na Moderna ili kutumia mnamo 2022 na 2023.

Hizi updates zitakwambia kwamba COVID is here to stay kama ilivyo kwa NGOMA / HIV
Hahahahah, sasa kila siku chanjo chanjo, ni biashara tu hizo watu wanapiga pesa. Pumzika kwa amani JPM
 
Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni negative effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.
Na sidhani kama kuna sheria yoyote inayomlinda mlaji.
Kwa nchi za wenzetu, hapo ungeliwakomalia kukulipa fidia kwa huduma yao kukusababishia kifo cha mzazi wako, lakini bongo ni majanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichoma hapa hapa Bongo, dawa sijui maana sikuwepo wakati anachoma. Dr alisema kuwa mwili wake ulishindwa kuhimili effects za dawa
Ndio sababu imeandikwa kwenye chanjo ukipata tatizo HAWAUSIKI
 
Alikuwa ana stroke upande wa kushoto kwa mwaka wa tano ila alikuwa anatembea tena bila fimbo, alipochoma sukari ikapanda haikuwahi shuka akaacha kula kabisa, ajabu bibi ambaye ni mama yake alichoma na mpaka sasa anadunda
Unajua kwa nini bibi anadunda? Hakula maujinga ujinga mnayokula ninyi watoto wa kishua ndo maana hadi sasa yupo, ninyi mnakula na kunywa hovyo mnadhani ndo vyakula bora
 
Back
Top Bottom