Ujerumani kusafirisha mikusanyiko 23 ya sanaa kwenda Namibia

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, mkuu wa Wakfu wa Urithi wa Prussian Bw. Hermann Parzinger, na Esther Moombolah wa Makumbusho ya Kitaifa ya Namibia walionyesha sehemu ya mkusanyiko wa sanaa za Namibia kutoka Jumba la Makumbusho la Berlin, 23 kati yao itasafirishwa kwenda Namibia.


 
Hongera Namibia kwa kufanikiwa lobbying mpaka mali yenu inarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…