Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Munster ni mji ulioko Magharibi mwa Ujerumani, ni mji unaofahamika kwa kubeba majengo ya kihistoria una idadi kubwa ya baiskeli ambayo ni mara mbili zaidi ya ile ya wakazi
Kutokana na wingi wa baiskeli kumetengwa maeneo ya maegesho ya baiskeli katika maeneo mbalimbali. Kama haumiliki baiskeli katika mji huu watakushangaa
Inasemekana watu wanamiliki baiskeli zaidi baada ya kuitikia wito wa kutunza mazingira, kwani magari na vifaa vingine vya moto hutoa gesi ambazo ni hatari kwa mazingira