Pre GE2025 Ujerumani: Nchi ya watu Milioni 83 inasemekana wamemaliza kuhesabu kura ndani ya saa 8 baada ya kukamilisha kwa zoezi, Tanzania tuna la kujifunza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi ni gharama + gharama za kuiba kura hawawezi kwenda na hiyo kasi.
 
Sijawai kujua kwanini CCM inaogopa uchaguzi huru ina maana haikubaliki na watu wanaogopa nini?
 
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza.

Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa ulimwenguni kote.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Inasemekana masaa nane baada ya uchaguzi, wameshamaliza zoezi la kuhesabu kura na matokeo ya awali yametoka, matokeo ambayo huwa hayatofautiani pakubwa na matokeo rasmi. Tume yetu Huru ya Uchaguzi iige mfano huu, matokeo yajulikane mapema na siyo hadi kutokee mivutano ndipo yatangazwe hasa yale ya wabunge na madiwani.

View attachment 3247558
CCM NI MAJAMBAZI
 
Tume ingekuwa HURU mambo yangekuwa chap chap bila "Ujecha".
 
Sio jambo gumu sana kama CCM watakubali matokeo yote yatangaziwe katika vituo vya kupigia kura kazi ya tume iwe kujumlisha tu, tatizo huwa linaanza kura zinapigwa sehemu moja halafu box zinabebwa ili kura kwenda kuhesabiwa sehemu nyingine.
Matokeo yote ya udiwani,ubunge na uraisi hubandikwa kila kituo hapo hapo

Chadema utasikia tumeibiwa kura ukiwauliza kituo kipi wakati mna mawakala wenu tajeni kituo wanabaki tu kuongea kama wehu ohhh tumeibiwa

Ushahidi wa kura zote huwa vituo vya kupigia kura Tume inachofanya kabla kutangaza ni kujumlisha tu kura kutoka vituoni nchi nzima
 
Watawala wetu watakwambia Ujerumani ni nchi iliyoendelea hatuwezi kulinganishwa nayo ila ikija masuala mengine kama vifo watakwambia mbona hata Maraekani watu wanauliwa.
 
Matokeo yote ya udiwani,ubunge na uraisi hubandikwa kila kituo hapo hapo

Chadema utasikia tumeibiwa kura ukiwauliza kituo kipi wakati mna mawakala wenu tajeni kituo wanabaki tu kuongea kama wehu ohhh tumeibiwa

Ushahidi wa kura zote huwa vituo vya kupigia kura Tume inachofanya kabla kutangaza ni kujumlisha tu kura kutoka vituoni nchi nzima
Hujui chochote wewe kilaza, matokeo ya Urais huwa hayabandikiwi kituoni.

Unajua kwa nini mpaka leo NEC hawajawahi kuchapisha na kuweka mtandaoni matokeo ya urais ya mwaka 2020??

Unajua kwa nini serikali ilikisambaratisha kituo cha CHADEMA cha kufanya tallying ya kura za Lowassa mwaka 2015??
 
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza.

Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa ulimwenguni kote.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Inasemekana masaa nane baada ya uchaguzi, wameshamaliza zoezi la kuhesabu kura na matokeo ya awali yametoka, matokeo ambayo huwa hayatofautiani pakubwa na matokeo rasmi. Tume yetu Huru ya Uchaguzi iige mfano huu, matokeo yajulikane mapema na siyo hadi kutokee mivutano ndipo yatangazwe hasa yale ya wabunge na madiwani.

View attachment 3247558
Tume ipi hiyo itangaze ndani ya siku moja? Ile ile ya maagizo?
 
Nyie hata kuiba kura hadi mtumie week nzima. Bure kabisa ccm na tume yenu
Ila kwa dunia ya sasa inawezekan pia , matumiz ya teknologi yakizngatiwa kam vtuo vya wapga kura vtafungwa saa 12 na kila kituo kikatuma taarfa kwenye system na system zikajumlsha na ku display mshind its within 30/60min mambo laivu
 
Hujui chochote wewe kilaza, matokeo ya Urais huwa hayabandikiwi kituoni.

Unajua kwa nini mpaka leo NEC hawajawahi kuchapisha na kuweka mtandaoni matokeo ya urais ya mwaka 2020??

Unajua kwa nini serikali ilikisambaratisha kituo cha CHADEMA cha kufanya tallying ya kura za Lowassa mwaka 2015??
unajibizana na mtoto Grn Z ambaye hajui lolote, Hawa watoto wanapata General study Aila hawajui hata muuda wa tume wala utangazaji wa matokeao.
Hawajui kwanini "wapinzani" hawataki KATIBA MPYA.
 
Hizi za dijitali ambapo simu ziko kila mahali unahitaji miondombinu gani kutoa matoke ya uchaguzi ndani ya siku moja?? Mkiacha kubeba box za kura kwenda kuhesabia mafichoni badala yake kura zote zihesabiwe kituoni inawezekana kutangaza matokeo kwa haraka kama Ujerumani au Brazil.
 
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza.

Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa ulimwenguni kote.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Inasemekana masaa nane baada ya uchaguzi, wameshamaliza zoezi la kuhesabu kura na matokeo ya awali yametoka, matokeo ambayo huwa hayatofautiani pakubwa na matokeo rasmi. Tume yetu Huru ya Uchaguzi iige mfano huu, matokeo yajulikane mapema na siyo hadi kutokee mivutano ndipo yatangazwe hasa yale ya wabunge na madiwani.

View attachment 3247558
Pamoja na Tech,lakini hawana mizengwe wapo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wao hivyo hawalazimishi kuwepo madarakani.
Kuchelewesha matokeo ni tabia ya wezi wa kura.
 
Kuhesabu kura na kutoa matoke muda mfupi haitegemeani na maendeleo ya nchi. Teknolojia zipo na nchi yetu inamudu vizuri kuzinunua.

Kama Mozambique, Malawi wanaweza sisi tunashindwa nini?
Kuna kazi inafanywa muda huu na awamu ya Samia, na hiyo ndio tiketi itakayomrudisha ikulu baada ya uchaguzi wa 2025, haya mengine ni malalamiko ya miaka yote.

Kuna ndege 3 zinanunuliwa mwaka huu jumla zitakuwa 15. Kuna ujenzi wa madaraja, viwanja vya ndege, barabara, utanuzi wa umeme wa REA na mengine mengi yanaendelea kufanyika kuanzia JPM alipoaga dunia mpaka leo hii.

Haya yote ndio yatakayomrudisha SSH ikulu, kutengenezea mazingira ya kutaka uchaguzi uonekane haukuwa wa haki ni upuuzi tu katika nchi ambayo kila mwenye macho anaona nini kinafanyika.
 
Amepelekwa wapi huyu?
Walimtumbua huyu baada ya hii video kutoka ila itakuwa anaendelea kufanya majukumu mengi ya kuratibu wizi mwingine 2025 saa hizi akicheza lowkey bila kuonekana sana kwenye media.
 
Matokeo yote ya udiwani,ubunge na uraisi hubandikwa kila kituo hapo hapo

Chadema utasikia tumeibiwa kura ukiwauliza kituo kipi wakati mna mawakala wenu tajeni kituo wanabaki tu kuongea kama wehu ohhh tumeibiwa

Ushahidi wa kura zote huwa vituo vya kupigia kura Tume inachofanya kabla kutangaza ni kujumlisha tu kura kutoka vituoni nchi nzima
Kuhalalisha haramu ni kazi ngumu sana!
 
Back
Top Bottom