Ujerumani ni timu ya kuangaliwa kwa jicho la tatu

Wadau wameshakubaliana na hoja mia kwa mia na fainali ni kati ya Ujerumani na Ureno huku Ureno akipigika kipigo alichokipata Brazil kombe la dunia 2014.
Duh! Eeee bhana eeee !!!
 
Japo naipenda England. lakini Germany wako vizuri sana..
Natamani kuona Fainali ya England vs Germany.....
hapo ndo wajerumani watajua England ni nani
Vipi hii fainali yako itakuwepo?
 
Mkuu hilo halina ubishi kwa sababu ureno watajigongagonga kwa wales kisha watatumbukia fainali kwa bahati bahati lakini kwa mzee mzima Hitler lazima wafurukutwe.
Nimecheka kinyama!
 
Vipi hii fainali yako itakuwepo ?


Mkuu we acha tu....nna maumivu usipime....nlikuwa nawaamini sana vijana wa Roy Hodson....

lakini hakuna walichofanya .....nmelazimika kuwasapoti wakoloni kamili....(wajerumani)...japo siwapendi sana.....
 


Mtabiri njaa ahaa haa ahaa leo tarehe 08.07.2016 njoo utuambie juu ya utabiri njaa wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…