Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Naomba kujibiwa hili swali.Hivi belgium ina kitu gani anbacho kinawafanya wadau waamini itafika mbali ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujibiwa hili swali.Hivi belgium ina kitu gani anbacho kinawafanya wadau waamini itafika mbali ?
Hakuna wa kujibu, wote washapoteana kwani unawaona wakizungukia mitaa hii?Naomba kujibiwa hili swali .
Wadau wameshakubaliana na hoja mia kwa mia na fainali ni kati ya Ujerumani na Ureno huku Ureno akipigika kipigo alichokipata Brazil kombe la dunia 2014.Nadhani wadau mnaendelea kujionea yanayotokea .
AhahahahahaJapo naipenda England. lakini Germany wako vizuri sana..
Natamani kuona Fainali ya England vs Germany.....
hapo ndo wajerumani watajua England ni nani
Duh! Eeee bhana eeee !!!Wadau wameshakubaliana na hoja mia kwa mia na fainali ni kati ya Ujerumani na Ureno huku Ureno akipigika kipigo alichokipata Brazil kombe la dunia 2014.
Mkuu hilo halina ubishi kwa sababu ureno watajigongagonga kwa wales kisha watatumbukia fainali kwa bahati bahati lakini kwa mzee mzima Hitler lazima wafurukutwe.Duh! Eeee bhana eeee !!!
Vipi hii fainali yako itakuwepo?Japo naipenda England. lakini Germany wako vizuri sana..
Natamani kuona Fainali ya England vs Germany.....
hapo ndo wajerumani watajua England ni nani
Nimecheka kinyama!Mkuu hilo halina ubishi kwa sababu ureno watajigongagonga kwa wales kisha watatumbukia fainali kwa bahati bahati lakini kwa mzee mzima Hitler lazima wafurukutwe.
Kwa nini mkuu?Nimecheka kinyama !
Vipi hii fainali yako itakuwepo ?
Tunasubiri Maajabu ya England kufika finalSubiri utaona maajabu....England anafika final...
sema Jana koch ndo aliigharim timu kwa sub mbovu...
Atakuja ku-update uzi..Tunasubiri Maajabu ya England kufika final
Wadau wameshakubaliana na hoja mia kwa mia na fainali ni kati ya Ujerumani na Ureno huku Ureno akipigika kipigo alichokipata Brazil kombe la dunia 2014.
Kwani nusu fainali siyo mbali?Mleta mada umebugi mennnn!
Hii timu imezoea ushindi , haina wasiwasi na wala haitegemei uwezo wa mchezaji mmoja mmoja , wanacheza Total football , ukishangaa watakuadhiri kwa kiwango ambacho hutasahau !
Hawana presha ya vyombo vya habari maana hawajadiliwi sana , ni kama wamesahaulika vile .
Nawatabiria kufika mbali .
Nilipigwa ban mkuu ndo nimeachiwa jana. Nini kimejiri huku?Mkuu upo au umepotea
Hola, uliingia chaka vibaya mno.Final watakutana SPAIN <> BELGIUM...Spain anabeba ndoo
Hola,uliingia chaka vibaya mno