Ujerumani: Shambulizi la kigaidi laua wawili na kujeruhi 11, mtuhumiwa ni Daktrari kutoka Saud Arabia akibamiza gari kwenye soko

"Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani athibitisha kwamba mtu aliyekamatwa kwa shambulio la soko la Krismasi ni chuki ya Uislamu"

Basi kwa nini hakulenga msikiti? Alilenga Wajerumani kwenye soko la Krismasi. Tamaduni ya Kikristo.

Wanafikiri sisi sote ni wajinga kiasi gani?
 
Hahaha nyie watu huwa mnachekesha sana kwa kweli. Eti gaidi
Tukio hilo hilo akifanya mjerumani mnasema attacker or shooter or killer, ila akifanya muislamu jina linabadilika na kuwa gaidi.. tushazoea matusi yenu hatutishiki na neno gaidi mnajisumbua tu
 
Mwana kulitafuta, mwana kulipata....wajerumani wameyataka wenyewe
 
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani athibitisha kwamba mtu aliyekamatwa kwa shambulio la soko la Krismasi ni chuki ya Uislamu"
Ungeiweka tu katika kiingereza!
Basi kwa nini hakulenga msikiti? Alilenga Wajerumani kwenye soko la Krismasi. Tamaduni ya Kikristo.
Sijui.

Ninachojua ni ana chuki dhidi ya Uislam na ni atheist. Ni kafiri.

Pia alikuwa akiuchukia ukristo. Kuna tweet alimnukuu kiongozi mmoja wa kiyahudi akimtukana Bibi Maryam ,Mama yake Nabii Issa (Amani iwe juu yake yeye na Mama yake).


Na halafu kwani kila anayewashambulia wakristo lazima awe Muislam?

Anders Behring Breivik alipowaua waNorway wenzie kupinga sera za serikali ya nchi hiyo kuunga mkono uhamiaji alikuwa Muislam?


Chuki zake dhidi ya Uislam ndio zilimsukuma kuwaua waNorway wenzie kama huyo kafiri aliyeua watu wasio na hatia Ujerumani.


Devin Kelley aliyeua watu 22 kanisani huko Marekani mwaka 2017 alikuwa Muislam?


Dylan Roof aliyeua watu 9 katika la watu weusi huko Marekani mwaka 2015 kwa chuki za rangi alikuwa Muislam?


Yule shoga (mwanamke aliyejifanya mwanaume sijui mnawaita "transgender") alipoua watu 6 ikiwemo watoto watatu huko Marekani mwaka jana katika shule ya kanisa (shule ambayo aliwahi kusoma hapo kabla) alikuwa Muislam?


Kwa kuwataja wachache
 

Tazama namna makafiri wenzie wanavyom disown. Sijui anajisikiaje huko aliko akisikia makafiri wenzie (katika far right) aliokuwa akiwapigania wakimkataa!! Hili liwe onyo kwa maadui wote wa Uislam kuwa hawatopata ila udhalili na wasipobadilika wakafa katika hali hiyo Akhera wana khasara. Allah atupe mwisho mwema.
 
Wanafikiri sisi sote ni wajinga kiasi gani?
Mnaanza kuwatilia mashaka ndugu zenu katika uadui dhidi ya Uislam eeh?

Allah azifarakanishe safu zenu, na aondoe hali ya kuaminiana baina yenu, na azirudishe njama na vitimbi vyenu kwenu wenyewe maadui wote wa Uislam. Aamiin.
 
Mwana kulitafuta, mwana kulipata....wajerumani wameyataka wenyewe
Kwanini Ujerumani haikumrudisha huyo kafiri kwa waSaudia ili apewe haki yake? Na waSaudia waliwaomba Wajerumani wamrudishe.

Ni kwa sababu alikuwa mzayuni na Anti Islam?

Kuna mtu (mwanamke wa kisaudi) pia kumbe alimripoti mwaka jana kwa sababu ya threats alizokuwa anazitoa huyu kafiri. Ila hazikusikilizwa.
 
Umetumia Nini kutafsiri hii habari kwenda kiswahili??
Haieleweki, labda tu umetoa utangulizi Kwa kilichotokea ila Kwa mtu asiyejua kiufupi imejichanganya tu.

Kwenye kichwa habari watu 11 wamejeruhiwa, sehem ya habari yako pia imesema majeruhi 60, baadae ukasema polisi wamekataa kutoa namba za majeruhi.

Ila asante Kwa taarifa pia jifunze kuhariri taarifa kabla ya kuweka kwenye jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…