Ujerumani: Shambulizi la kigaidi laua wawili na kujeruhi 11, mtuhumiwa ni Daktrari kutoka Saud Arabia akibamiza gari kwenye soko

Ujerumani: Shambulizi la kigaidi laua wawili na kujeruhi 11, mtuhumiwa ni Daktrari kutoka Saud Arabia akibamiza gari kwenye soko

Takbiiiiiiir
1000314568.jpg
 
Huyo gaidi sio Muislam, ni atheist, kabla ya hapo alikuwa shia, ni kafiri. Ni anti Islam kama wewe. Ni atheist. Ni pro-zionist anaiunga mkono dola ya kizayuni. Alikimbia Saudi Arabia na kukimbilia Ujerumani. Anaichukia Ujerumani kwa kuruhusu Waislam kuingia Ujerumani. Saudia inamuhitaji kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ugaidi, ila Ujerumani ilikataa kumu extradite.

Hata kama wewe ni Islamophobe kama ndugu yako Taleb aliyeua watu Ujerumani, ila fuatilia taarifa kabla ya ku comment.
"Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani athibitisha kwamba mtu aliyekamatwa kwa shambulio la soko la Krismasi ni chuki ya Uislamu"

Basi kwa nini hakulenga msikiti? Alilenga Wajerumani kwenye soko la Krismasi. Tamaduni ya Kikristo.

Wanafikiri sisi sote ni wajinga kiasi gani?
 
Hahaha nyie watu huwa mnachekesha sana kwa kweli. Eti gaidi
Tukio hilo hilo akifanya mjerumani mnasema attacker or shooter or killer, ila akifanya muislamu jina linabadilika na kuwa gaidi.. tushazoea matusi yenu hatutishiki na neno gaidi mnajisumbua tu
 
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani athibitisha kwamba mtu aliyekamatwa kwa shambulio la soko la Krismasi ni chuki ya Uislamu"
Ungeiweka tu katika kiingereza!
Basi kwa nini hakulenga msikiti? Alilenga Wajerumani kwenye soko la Krismasi. Tamaduni ya Kikristo.
Sijui.

Ninachojua ni ana chuki dhidi ya Uislam na ni atheist. Ni kafiri.

Pia alikuwa akiuchukia ukristo. Kuna tweet alimnukuu kiongozi mmoja wa kiyahudi akimtukana Bibi Maryam ,Mama yake Nabii Issa (Amani iwe juu yake yeye na Mama yake).


Na halafu kwani kila anayewashambulia wakristo lazima awe Muislam?

Anders Behring Breivik alipowaua waNorway wenzie kupinga sera za serikali ya nchi hiyo kuunga mkono uhamiaji alikuwa Muislam?


Chuki zake dhidi ya Uislam ndio zilimsukuma kuwaua waNorway wenzie kama huyo kafiri aliyeua watu wasio na hatia Ujerumani.


Devin Kelley aliyeua watu 22 kanisani huko Marekani mwaka 2017 alikuwa Muislam?


Dylan Roof aliyeua watu 9 katika la watu weusi huko Marekani mwaka 2015 kwa chuki za rangi alikuwa Muislam?


Yule shoga (mwanamke aliyejifanya mwanaume sijui mnawaita "transgender") alipoua watu 6 ikiwemo watoto watatu huko Marekani mwaka jana katika shule ya kanisa (shule ambayo aliwahi kusoma hapo kabla) alikuwa Muislam?


Kwa kuwataja wachache
 
Ila nyie jamaa mna chuki sana, Jamaa anajulikana Dunia nzima, ni. Maarufu sana Twitter na makumi ya maelfu ya Followers, member wa far right group Ujerumani Afd, ni. Pro Israel na anauchukia uisilamu, Hakuwa muisilamu. Ujerumani wenyewe wanamtetea alikua na matatizo ya akili (sababu ni mwenzao angekua muisilamu wangemuita gaidi ) ila bongo sasa sababu ya chuki yenu ya uisilamu mshapata kwa kunyea, mtasaga sumu wiki yote hii.

Tazama namna makafiri wenzie wanavyom disown. Sijui anajisikiaje huko aliko akisikia makafiri wenzie (katika far right) aliokuwa akiwapigania wakimkataa!! Hili liwe onyo kwa maadui wote wa Uislam kuwa hawatopata ila udhalili na wasipobadilika wakafa katika hali hiyo Akhera wana khasara. Allah atupe mwisho mwema.
 
Wanafikiri sisi sote ni wajinga kiasi gani?
Mnaanza kuwatilia mashaka ndugu zenu katika uadui dhidi ya Uislam eeh?

Allah azifarakanishe safu zenu, na aondoe hali ya kuaminiana baina yenu, na azirudishe njama na vitimbi vyenu kwenu wenyewe maadui wote wa Uislam. Aamiin.
 
Mwana kulitafuta, mwana kulipata....wajerumani wameyataka wenyewe
Kwanini Ujerumani haikumrudisha huyo kafiri kwa waSaudia ili apewe haki yake? Na waSaudia waliwaomba Wajerumani wamrudishe.

Ni kwa sababu alikuwa mzayuni na Anti Islam?

Kuna mtu (mwanamke wa kisaudi) pia kumbe alimripoti mwaka jana kwa sababu ya threats alizokuwa anazitoa huyu kafiri. Ila hazikusikilizwa.
20241223_055157.jpg
20241223_055203.jpg
20241223_055210.jpg
20241223_055216.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?


Dereva aliua watu wasiopungua wawili alipovamia Kwa kubamiza gari kwenye umati mkubwa wa watu waliokuwa wakisherehekea katika soko la Krismasi katika mji wa Magdeburg nchini Ujerumani siku ya Ijumaa jioni, maafisa wa eneo hilo walisema.

Takriban watu 60 walijeruhiwa, alisema Reiner Haseloff, waziri mkuu wa jimbo la Saxony-Anhalt, ambapo Magdeburg ndio mji mkuu. Mmoja wa waliokufa alikuwa mtoto mdogo, Haseloff aliongeza.

Polisi wamemkamata mshukiwa wa shambulizi, ambaye Haseloff alimtaja kama daktari kutoka Saudi Arabia ambaye alikuwa akifanya kazi peke yake.

“Ni msiba mbaya sana. Ni janga kwa jiji la Magdeburg, kwa jimbo na kwa Ujerumani kwa ujumla,” Haseloff alisema.

Polisi walikataa kutoa nambari za majeruhi, na hivyo kuthibitisha oparesheni kubwa tu katika soko hilo, ambapo watu walikuwa wamekusanyika kusherehekea siku chache kabla ya sikukuu ya Krismasi.

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alisema "mawazo yake yako kwa wahasiriwa na familia zao."

Video iliyotumwa kwenye mitandao ya kijamii kutoka juu ya soko ilionyesha gari likiendesha kwa kasi katikati ya umati wa watu likitembea kati ya safu mbili za maduka ya soko. Watu walionekana wakianguka chini na kukimbia. Reuters iliweza kuthibitisha eneo, kwa miti, muhtasari na muundo wa majengo yanayolingana na faili na picha za setilaiti za eneo hilo.

Mwishoni mwa mwezi uliopita, waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Nancy Faeser alishauri watu kuwa waangalifu katika masoko ya Krismasi.

Miaka minane iliyopita, lori lililokuwa likiendeshwa na Anis Amri, mtafuta hifadhi wa Tunisia aliyeshindwa na ambaye ana uhusiano na Waislamu, lilianguka katika soko la Krismasi lililokuwa na watu wengi mjini Berlin, na kuua watu 12 na kujeruhi makumi ya wengine

Mungu ibariki Israel


Driver kills at least two after ramming into crowd at German Christmas market

Over 60 reported injuHARTMANN / AFP)

Reuters — A driver killed at least two people when he rammed into a large crowd of revellers at a Christmas market in the German city of Magdeburg on Friday evening, local officials said.

At least 60 people were injured, said Reiner Haseloff, premier of the state of Saxony-Anhalt, where Magdeburg is the capital. One of the dead was a young child, Haseloff added.

Police have arrested the suspected attacker, who Haseloff described as a doctor from Saudi Arabia who was acting alone.

“It’s a terrible tragedy. It is a catastrophe for the city of Magdeburg, for the state and for Germany in general,” Haseloff said.

Police declined to give casualty numbers, confirming only a large-scale operation at the market, where people had gathered to celebrate in the days leading up to the Christmas holidays.

German Chancellor Olaf Scholz said his “thoughts are with the victims and their families.”

A video posted on social media from a position above the market showed a car driving at speed through a crowd walking between two rows of market stalls. People could be seen knocked to the ground and running away. Reuters was able to verify the location, with the trees, outline and design of the buildings matching file and satellite imagery of the area.

Late last month, German interior minister Nancy Faeser advised people to be vigilant at Christmas markets.

Eight years ago, a truck driven by Anis Amri, a failed Tunisian asylum seeker with Islamist links, crashed into a crowded Christmas market in Berlin, killing 12 people and injuring dozens of others.




arrow right icon
Umetumia Nini kutafsiri hii habari kwenda kiswahili??
Haieleweki, labda tu umetoa utangulizi Kwa kilichotokea ila Kwa mtu asiyejua kiufupi imejichanganya tu.

Kwenye kichwa habari watu 11 wamejeruhiwa, sehem ya habari yako pia imesema majeruhi 60, baadae ukasema polisi wamekataa kutoa namba za majeruhi.

Ila asante Kwa taarifa pia jifunze kuhariri taarifa kabla ya kuweka kwenye jukwaa
 
Back
Top Bottom