Ujerumani: Shambulizi la kigaidi laua wawili na kujeruhi 11, mtuhumiwa ni Daktrari kutoka Saud Arabia akibamiza gari kwenye soko

Ujerumani: Shambulizi la kigaidi laua wawili na kujeruhi 11, mtuhumiwa ni Daktrari kutoka Saud Arabia akibamiza gari kwenye soko

Hao West ndio enablers wa Israeli's Genocide against Palestinians!

Let them teaste their own medicine!
 
Huyo gaidi sio Muislam, ni Ex-Muslim yaani murtad, ni kafiri. Ni anti Islam kama wewe. Ni atheist. Ni pro-zionist anaiunga mkono dola ya kizayuni. Alikimbia Saudi Arabia na kukimbilia Ujerumani. Anaichukia Ujerumani kwa kuruhusu Waislam kuingia Ujerumani. Saudia inamuhitaji kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ugaidi, ila Ujerumani ilikataa kumu extradite.

Hata kama wewe ni Islamophobe kama ndugu yako Taleb aliyeua watu Ujerumani, ila fuatilia taarifa kabla ya ku comment.

Halafu kumbe alikuwa shia baadae akawa atheist kabisa. Anahitajika Saudia kwa tuhuma za ubakaji pia ukiachana na ugaidi. Anatuhumiwa pia kusafirisha wasichana kutoka mashariki ya kati kwenda Ulaya. Lakini Ujerumani ikakataa kumkabidhi kwa Saudia na ikampa hifadhi kabisa.
 
makobaz ndio mambo yaooo popote yalipoo...uzombi tuu kila konaa, netanyahu akifanya usafi wa kina apo gaza na ukanda wote yanaliaa.. ila mambo yao mengi hayaelewekii mazee...maostaz wengi wameyageuza madrassa kuwa gestii, wanatoboana spika mle hataree! mwisho wake ndio mambo kama hayaa, kuna mwenzetu mwana jf MOTOCHINI alishawahi funguka alivonyanyasikaa mnoo kimapenzii mlee...dah
Hivi haya maarabu si yafukuzwe tu huko ulaya yarudi kwao huko yakalipuane yenyewe tu,yaani kokote kwenye muislamu lazima kuwepo na majanga,hii dini ni ya kisenge sana
 
Kobazi hata lisome vipi akili zinakuwa za kipumbavu,

Angalia huyo Dr, Zitto and the like.
 
Huyo gaidi sio Muislam, ni Ex-Muslim yaani murtad, ni kafiri. Ni anti Islam kama wewe. Ni atheist. Ni pro-zionist anaiunga mkono dola ya kizayuni. Alikimbia Saudi Arabia na kukimbilia Ujerumani. Anaichukia Ujerumani kwa kuruhusu Waislam kuingia Ujerumani. Saudia inamuhitaji kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ugaidi, ila Ujerumani ilikataa kumu extradite.

Hata kama wewe ni Islamophobe kama ndugu yako Taleb aliyeua watu Ujerumani, ila fuatilia taarifa kabla ya ku comment.
Sawa Mkuu ila ni kabila gani hasa? Mzungu? Mwarabu? Mwafrika? Hebu tujuze
 
makobaz ndio mambo yaooo popote yalipoo...uzombi tuu kila konaa, netanyahu akifanya usafi wa kina apo gaza na ukanda wote yanaliaa.. ila mambo yao mengi hayaelewekii mazee...maostaz wengi wameyageuza madrassa kuwa gestii, wanatoboana spika mle hataree! mwisho wake ndio mambo kama hayaa, kuna mwenzetu mwana jf MOTOCHINI alishawahi funguka alivonyanyasikaa mnoo kimapenzii mlee...dah
Aliyefanya hivyo ni daktari na ni atheist kama kiranga
 
Kuwakaribisha hawa wavaa pedo, ulaya ni hatari Sana kwa mustakabali wa judeo Christianity culture ya ulaya, wale wa sylia waliopewa hifadhi ulaya, America inabidi wafukuzwe warudi kwao
Roho mbaya hii
 
Wadau hamjamboni nyote?

Dereva aliua watu wasiopungua wawili alipovamia Kwa kubamiza gari kwenye umati mkubwa wa watu waliokuwa wakisherehekea katika soko la Krismasi katika mji wa Magdeburg nchini Ujerumani siku ya Ijumaa jioni, maafisa wa eneo hilo walisema.

Takriban watu 60 walijeruhiwa, alisema Reiner Haseloff, waziri mkuu wa jimbo la Saxony-Anhalt, ambapo Magdeburg ndio mji mkuu. Mmoja wa waliokufa alikuwa mtoto mdogo, Haseloff aliongeza.

Polisi wamemkamata mshukiwa wa shambulizi, ambaye Haseloff alimtaja kama daktari kutoka Saudi Arabia ambaye alikuwa akifanya kazi peke yake.

“Ni msiba mbaya sana. Ni janga kwa jiji la Magdeburg, kwa jimbo na kwa Ujerumani kwa ujumla,” Haseloff alisema.

Polisi walikataa kutoa nambari za majeruhi, na hivyo kuthibitisha oparesheni kubwa tu katika soko hilo, ambapo watu walikuwa wamekusanyika kusherehekea siku chache kabla ya sikukuu ya Krismasi.

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alisema "mawazo yake yako kwa wahasiriwa na familia zao."

Video iliyotumwa kwenye mitandao ya kijamii kutoka juu ya soko ilionyesha gari likiendesha kwa kasi katikati ya umati wa watu likitembea kati ya safu mbili za maduka ya soko. Watu walionekana wakianguka chini na kukimbia. Reuters iliweza kuthibitisha eneo, kwa miti, muhtasari na muundo wa majengo yanayolingana na faili na picha za setilaiti za eneo hilo.

Mwishoni mwa mwezi uliopita, waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Nancy Faeser alishauri watu kuwa waangalifu katika masoko ya Krismasi.

Miaka minane iliyopita, lori lililokuwa likiendeshwa na Anis Amri, mtafuta hifadhi wa Tunisia aliyeshindwa na ambaye ana uhusiano na Waislamu, lilianguka katika soko la Krismasi lililokuwa na watu wengi mjini Berlin, na kuua watu 12 na kujeruhi makumi ya wengine

Mungu ibariki Israel

Driver kills at least two after ramming into crowd at German Christmas market

Over 60 reported injuHARTMANN / AFP)

Reuters — A driver killed at least two people when he rammed into a large crowd of revellers at a Christmas market in the German city of Magdeburg on Friday evening, local officials said.

At least 60 people were injured, said Reiner Haseloff, premier of the state of Saxony-Anhalt, where Magdeburg is the capital. One of the dead was a young child, Haseloff added.

Police have arrested the suspected attacker, who Haseloff described as a doctor from Saudi Arabia who was acting alone.

“It’s a terrible tragedy. It is a catastrophe for the city of Magdeburg, for the state and for Germany in general,” Haseloff said.

Police declined to give casualty numbers, confirming only a large-scale operation at the market, where people had gathered to celebrate in the days leading up to the Christmas holidays.

German Chancellor Olaf Scholz said his “thoughts are with the victims and their families.”

A video posted on social media from a position above the market showed a car driving at speed through a crowd walking between two rows of market stalls. People could be seen knocked to the ground and running away. Reuters was able to verify the location, with the trees, outline and design of the buildings matching file and satellite imagery of the area.

Late last month, German interior minister Nancy Faeser advised people to be vigilant at Christmas markets.

Eight years ago, a truck driven by Anis Amri, a failed Tunisian asylum seeker with Islamist links, crashed into a crowded Christmas market in Berlin, killing 12 people and injuring dozens of others.

arrow right icon
Wahasiriwa ni watu gani hawa mkuu?
 
Sawa Mkuu ila ni kabila gani hasa? Mzungu? Mwarabu? Mwafrika? Hebu tujuze

Ninachojua ni atheist, lilikuwa ni shia likawa atheist, lilikimbilia Ujerumani. Lina chuki kali dhidi ya Uislam na linailaumu Ujerumani kuruhusu kukua kwa Uislam huko Ujerumani, llitamani Uislam uangamie, ila linaangamia lenyewe linauacha Uislam ukiendelea kukua.

Haijalishi ni muarabu au mzungu, kitendo alichokifanya huyu gaidi atheist muunga mkono uzayuni ni kibaya.
 
Kuna siku yameandaman eti yanataka sharia law huko Uingereza
😂 😂 😂 😂 😂
Haya majitu mafi matupu
Unajua kuwa hilo gaidi na wewe mnafikra moja? Lilikimbia Saudia hilo shetani la ki atheist, lililokuwa linaupiga vita Uislam. Likakimbilia Ujerumani, na licha ya kuwa lilikuwa lina kesi Saudia, Ujerumani ikalipa hifadhi hilo kafiri.

Lilitokea mpaka kwenye documentary moja ya BBC mwaka 2019, si unajua tena mashetani kama hayo huwa ni tools za propaganda dhidi ya Uislam na Waislam. Pia lilikuwa ni Pro zionist. Si ajabu far right extremist na Islamophobe mwenzio maarufu kutokea Uingereza, Tommy Robinson, alikuwa anamfollow huko X huyu kafiri gaidi.

Watu kama huyu kafiri na gaidi Saudia inawashughulikia vizuri sana. Ila si ajabu nyinyi mngelalamika na hata kumuunga mkono au kuunga mkono watu aina yake na kuilaumu Saudia.

Ila ndio hivyo tena kaua watu Ujerumani.
 
Halafu kumbe alikuwa shia baadae akawa atheist kabisa. Anahitajika Saudia kwa tuhuma za ubakaji pia ukiachana na ugaidi. Anatuhumiwa pia kusafirisha wasichana kutoka mashariki ya kati kwenda Ulaya. Lakini Ujerumani ikakataa kumkabidhi kwa Saudia na ikampa hifadhi kabisa.
Kumbe waliyataka wenyewe sasa waache kulialia.
 
Tatizo kitabu wanachotumia ndio maana unaona mambo yao ya ajabu ajabu yanafanana
We mutu ya mwamposa tatizo ule udongo mliambiwe mkapsndie mauwa nyie mkaenda kupandia Bangi sasa mnatema mashudu ya Mjani pole zenu. Wapiga propaganda.
 
Back
Top Bottom