Ujerumani, Ufaransa zawataka raia wake kuondoka Ethiopia

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi.

Ufaransa imewataka Raia wake kuondoka mara moja bila kuchelewa. Ujerumani nayo imetoa wito kwa Wananchi wake kuondoka Ethiopia. Marekani na Uingereza zimetoa angalizo hulo kutokana na hali ya usalama kuendelea kudorora.

Mawasiliano yameminywa sehemu kubwa ya Kaskazini mwa Ethiopia, na ufikiaji wa Waandishi wa Habari umedhibitiwa.

======

More countries have told their nationals to leave Ethiopia, where an intensifying one-year war between federal troops and forces from the northern Tigray region appears to be taking a dramatic new turn.

Prime Minister Abiy Ahmed late on Monday announced he would head to the front lineon Tuesday to lead his soldiers, declaring: “We are now in the final stages of saving Ethiopia.”

On Tuesday, France advised its citizens to leave Ethiopia “without delay”. Germany also called on its citizens to leave the country on the first available commercial flights, following similar advisories by the United States and the United Kingdom in recent weeks, citing a deteriorating security situation.

Meanwhile, the United Nations said it was “temporarily relocating” families of international staff from Ethiopia, adding that its personnel would remain in the country.

“We will continue to monitor the situation as it evolves, keeping in mind the safety of our staff and the need to continue to stand and deliver and to continue operations and support all the people that need our assistance,” spokesman Stephane Dujarric said on Tuesday.

The moves came as the Tigrayan forces claimed in recent weeks to be moving closer to the capital, Addis Ababa.

Much of northern Ethiopia is under a communications blackout and access for journalists is restricted, making battlefield claims difficult to corroborate.

But officials in Addis Ababa insisted on Tuesday that security forces, including youth groups, were working to ensure the capital’s peace and stability and told the diplomatic community not to worry. The government, which has declared a six-month state of emergency, has previously also accused their rivals of exaggerating their territorial gains.

“The propaganda and terror talk being disseminated by the Western media fully contradicts the peaceful state of the city on the ground, so the diplomatic community shouldn’t feel any worry or fear,” said Kenea Yadeta, head of the Addis Ababa Peace and Security Bureau.

Samuel Getachew, an independent journalist in Addis Ababa, told Al Jazeera the capital was “a city that is quiet at night” amid the ongoing state of emergency.

“There are many people that are fleeing Addis Ababa, including French and Turkish citizens,” he said, noting that Abiy’s announcement that he was heading to the front line “was a shock to many people”.

“Both sides are willing to fight to the end, use military power to solve the differences,” he added. “Many allegations going back and forth between the two sides.”

Source: Al Jazeera
 
Hali ni mbaya kwa abiyi, na Abiy hawezi ile vita na Watigranya.

TPLF wameshateka Miji mingi sana. Kujitetea kuilinda Addis Ababa wakati nusu ya nchi ipo mikononi mwa Watigranya, ni wasiwasi wa kushindwa.

Abiy aliharibu pale alipoanza kuwaondoa Watigranya Serikalini, Jeshini na Usalama, halafu mbaya zaidi akaanza kuwanyanyasa Waoromo ambao ni wengi Ethiopia na ni ndugu zake Abiy.

Mpaka sasa Oromo Liberation Front na Tigray People's Liberation Front wameungana pamoja kumpindua Abiy Ahmed Ally.

Mbaya zaidi, jeshi la Ethiopia lina asilimia 18 ya wanajeshi kutoka Tigray na taarifa ni kwamba wengi wameasi kupigana dhidi ya Serikali ya Abiy Ahmed, na ndiyo maana sasa Abiy kasema anaenda frontline kupigana, na wiki chache zilizopita aliwaasa Waethiopia wasajili silaha zao na wapiganie nchi yao.

Zote hizi ni dalili za angako la Serikali.

Huko Tigray, baada ya Abiy kuwatandika raia, wazazi waliwaambia vijana kuliko kuuwawa mkiwa ndani, tokeni mkapigane.

Mtihani mwingine kwa Abiy ni kwamba kafukuza wanajeshi wengi, na kabla hajaunda jeshi upya lenye sura ya kitaifa, vita kali imezuka, na sasa ana kibarua kigumu kuwapa vijana mafunzo ya muda mfupi na kuwapeleka kwenye mapambano kupigana na Watigranya waliochoka kuonewa.
 
Wewe unajua Wazi Kiomgozi Mzuri akichomoza Hapa Afrika humalizwa mapema sana.... Abbiy ataondolewa sio na Ma Tigray ila ni Egypt Yuko nyuma akisuport hawa jamaa kwa kila kitu ni kama yaliyotokea Libya wakisema Demkrasia kumba majambazi makina Sarkozy yalikua yanapanga Wizi....

ETHIOPIA Tgray hawana lolote wametawala nchi ile miaka zaidi ya 40 Wameua maelf na kuiba sana....

Bwawa lile la Umeme Ndio chanzo cha kutaka PM aondolewe mana umeme mwingi wananunua Misri wanapojenga Bwawa lao Misri anakosa Mteja mkubwa sana Wa Umeme na ile ni kampuni ya Kimarekani unategemea nini??

Ethiopia Itageuka kuwa Libya Nyingine..Afrika Kuna laana the so called AU ni takataka kabisa...
 
We ndo umeongea ukweli.. vyombo vya habari vya kimataifa vinapotosha sana.. si vya kuamini,.. ukiona fyokofyoko nyingi kwenye nchi yyte ya africa, jaribu kuchunguza utagundua mara nyingi ka si mara zote kuna mkono wa beberu kwa sabab za kimaslahi.. bt media itasema vita vya wenyewe kwa wenyewe..
 
Wewe unajua Wazi Kiomgozi Mzuri akichomoza Hapa Afrika humalizwa mapema sana.... Abbiy ataondolewa sio na Ma Tigray ila ni Egypt Yuko nyuma akisuport hawa jamaa kwa kila kitu ni kama yaliyotokea Libya wakisema Demkrasia kumba majambazi makina Sarkozy yalikua yanapanga Wizi....

ETHIOPIA Tgray hawana lolote wametawala nchi ile miaka zaidi ya 40 Wameua maelf na kuiba sana....

Bwawa lile la Umeme Ndio chanzo cha kutaka PM aondolewe mana umeme mwingi wananunua Misri wanapojenga Bwawa lao Misri anakosa Mteja mkubwa sana Wa Umeme na ile ni kampuni ya Kimarekani unategemea nini??

Ethiopia Itageuka kuwa Libya Nyingine..Afrika Kuna laana the so called AU ni takataka kabisa...
Vipi unakumbuka Hilo bwawa limejengwa kipindi Cha utawala wa hao Watigrey?Huyu waziri mkuu Abiy ndo chanzo Cha haya yote yanayotokea .Angekua na Hekima angefanya mabadiliko Jeshini kidogokidogo na sio kwa pupa kiasi hicho ,anavuna alichokipanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unajua Wazi Kiomgozi Mzuri akichomoza Hapa Afrika humalizwa mapema sana.... Abbiy ataondolewa sio na Ma Tigray ila ni Egypt Yuko nyuma akisuport hawa jamaa kwa kila kitu ni kama yaliyotokea Libya wakisema Demkrasia kumba majambazi makina Sarkozy yalikua yanapanga Wizi....

ETHIOPIA Tgray hawana lolote wametawala nchi ile miaka zaidi ya 40 Wameua maelf na kuiba sana....

Bwawa lile la Umeme Ndio chanzo cha kutaka PM aondolewe mana umeme mwingi wananunua Misri wanapojenga Bwawa lao Misri anakosa Mteja mkubwa sana Wa Umeme na ile ni kampuni ya Kimarekani unategemea nini??

Ethiopia Itageuka kuwa Libya Nyingine..Afrika Kuna laana the so called AU ni takataka kabisa...
Kwani hilo bwawa lilianza kujengwa na Abiy?... isitoshe Egypt haina hata mpaka na Ethiopia Sasa hiyo support kwa waasi anaitoa vipi?.

Huyo role model wenu (Abiy Ahmed) ndiyo wakulaumiwa.
 
Yote haya sababu ni ugomvi wa bwawa litakalozalisha zaidi ya megawatt 5000.
 
Ndo maana wa ETHIOPIA kila leo wanakamatwa kwenye makontena trucks wakikimbia nchi kumbe kwao hali ni mbaya sana.MUNGU AWASAIDIE NCHI ITULIE
 
Back
Top Bottom