Ujerumani waanza kutumia makaa ya mawe kwa ajili ya Nishati

Wangekua wamejipanga wasingengojea RUSSO invasio kwa UKRAINE
Pia wakat RUSSO kavamia UKRAINE wasingekua nabado wanasita sita kuachana na NISHATI ya RUSSO jumla jumla mpaka jamaa anawakatia
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa si waamini wa clean energy kupunguza climate change, sasa vipi? Na si ndio wanasema wana clean energy technologies, sasa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…