Ujerumani: Wafanyakazi 730 wa machinjioni wapata maambukizi ya Corona

Ujerumani: Wafanyakazi 730 wa machinjioni wapata maambukizi ya Corona

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Hadi kufikia jana Alhamisi, wafanyakazi wapatato 730 katika machinjio ya jimbo la North Rhine-Westphalia (NRW) nchini Ujerumani wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kupimwa

Mamlaka za huko zimeamuru kufunguwa kwa kiwanda cha kuchakata nyama cha Kundi la Toennies kwenye eneo la Guetersloh jimboni humo kuanzia jumatano

Aidha, watu wapatao 7,000 wamewekwa karantini kwenye eneo la Guetersloh. Jimbo la NRW limeanzisha uchunguzi kuhusu chanzo cha maambukizi hayo
 
Tobaaaa.....

Everyday is Saturday........................ 😎
 
Back
Top Bottom