Ujerumani yafuta ahadi ya kuisaidia Ukraine kutokana na mbinyo wa kiuchumi nyumbani.

Ujerumani yafuta ahadi ya kuisaidia Ukraine kutokana na mbinyo wa kiuchumi nyumbani.

Hata asipopeleka! Alizopeleka zinatosha kuipa tough Ukraine!
 
Ila nimefatilia hii ishu baada ya hilo tangazo share za kampuni sijui makampuni ya silaha hazikushuka bali ziliporomoka

Hii inamaanisha hawa majamaa vita inawapa faida kubwa sana

Sasa swali hapa najiuliza kwamba je german wataendelea na huo msimamo wao huku wakiacha kampani zao kuanguka ama wataendelea na hili suala

Ila kupambana na Russia sio jambo rahisi siku moja historia itakuja kuielezea Russia katika picha na sura kama hii nna uhakika
 
Back
Top Bottom