Ujerumani yaifunga Hungary 2-0 na kufuzu hatua ya 16 bora

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0.

Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…