#COVID19 Ujerumani yamwaga zaidi ya bilioni mbili kwa Tanzania kwa ajili ya mapambano dhidi ya Corona

Halafu nyie mtasema SSH kamwaga mabilioni mapambano ya UVIKO19....wakati ni reciprocity ya German government Grant's....na nyie mjifunze kwa watoaji ndio maana huoni wakisema Olaf Schloz ...get it now is no longer Angel Markel...katoa billions kwa serikali ya Tanzania. They just mention serikali ya ujerumani.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
God is Good,
 
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Tanzania yetu bwana, magumashi ya kutosha yani kama vile tumekatwa vichwa,

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…