Ujerumani yapoteza masks milioni 6 nchini Kenya

Ujerumani yapoteza masks milioni 6 nchini Kenya

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Afisa Forodha Ujerumani.jpg

Afisa wa polisi wa Ujerumani akiwa amevalia barakoa wakati akimkaribia dereva wa gari katika mpaka wa Ujerumani na Uswizi baada ya nchi hiyo kutangaza udhibiti wa mipaka kufuatia ugonjwa wa COVID-19, Machi 16, 2020. [Picha / Mawakala]

Maafisa wa forodha wa Ujerumani wanajaribu kufuatilia barakoa (masks) milioni 6 zilizoagizwa kwa ajili ya kuwalinda wafanyakazi wa afya dhidi ya coronavirus, ambazo wanasema zimepotea kwenye uwanja wa ndege nchini Kenya.

"Mamlaka zinahjaribu kufahamu kilichotokea," msemaji wa wizara ya ulinzi ya Ujerumani alisema, akithibitisha ripoti iliyochapishwa kwanza na Spiegel Online.

Msemaji wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege vya Kenya (KAA) amesema upelelezi bado haujapata chochote hadi sasa.

Barakoa hizo aina ya FFP2, ambayo huchuja zaidi ya 90% ya chembechembe, ziliagizwa na mamlaka za forodha za Ujerumani. Mamlaka hizo pamoja na ofisi za manunuzi za vikosi vya jeshi zimekuwa zikisaidia wizara ya afya kupata vifaa vya kinga dhidi ya Coronavirus vinazohitajika haraka.

Mzigo huo ulipaswa kufika nchini Ujerumani mnamo Machi 20 lakini haukufika kamwe baada ya kutoweka mwishoni mwa juma lililopita kwenye uwanja wa ndege nchini Kenya. Haijulikani ni kwanini barakoa hizo zilizotengenezwa na kampuni ya Ujerumani zilikuwa nchini Kenya.

Hata hivyo Msemaji wa Wiizara ya Ulinzi nchini Ujerumani amesema hakuna athari ya kifedha kutokana na upoteaji wa barakoa hizo kwani hakuna pesa iliyolipwa.

======

BERLIN (Reuters) - German customs officials are trying to track down about 6 million face masks, ordered to protect health workers from the coronavirus, that they say went missing at an airport in Kenya.

“The authorities are trying to find out what happened,” a German defence ministry spokeswoman said, confirming a report first published by Spiegel Online.

A Kenyan Airports Authority (KAA) spokeswoman said investigations had found nothing so far.

The FFP2 masks, which filter out more than 90% of particles, were ordered by German customs authorities. They and the armed forces procurement office have been helping the health ministry to get hold of urgently needed protective gear.

The shipment was due in Germany on March 20 but never arrived after disappearing at the end of last week at an airport in Kenya. It was unclear why the masks, produced by a German firm, had been in Kenya.

“What exactly happened, whether this a matter of theft or a provider who isn’t serious, is being cleared up by customs,” a German government source said, asking not to be named.

Spiegel Online reported Germany has placed orders worth 241 million euros ($260.57 million) with suppliers for protective and sanitary equipment to fight the novel coronavirus.

The defence ministry spokeswoman said there was no financial impact from the loss of the masks as no money had been paid.

Germany is preparing its hospitals and health workers for a big increase in admissions of patients with the virus. It has 27,436 confirmed coronavirus cases and 114 people have died, the Robert Koch Institute for infectious diseases said.

Reporting by Sabine Siebold, Additional reporting by Ayenat Mersie, Writing by Madeline Chambers, Editing by Scot W. Stevenson, Ed Osmond and Barbara Lewis


Chanzo: Reuters
 
Jasiri haachi asili. Hii ndio kauli ya kwa majirani zetu.Huku ndege nyingi duniani za mashirika mbalimbali zikiwa zimesimama kutoa huduma kutokana na kuenea kwa kasi kwa virusi vya corona ama covid 19. Hivyo kusababisha ndege chache zilizopo kufanya kazi kubwa ya kuonheza route kwa ajili ya wateja na mizigo.

Habari iliyo katika anga za dunia ni kuwa Ndege iliyokuwa na mzigo wa mask million 6 iliyopita kenya ikiwa inaelekea ujerumani zimepotea katika mazingira ya kutatanisha katika airport ya kenya.mask hizo zilikuwa zimenunuliwa na jeshi la ujerumani.msemaji wa jeshi la ujerumani amesema mask hizo milioni 6 ziliagizwa kwa ajili ya kusaidia wananchi kutokana na mlipuko was ugonjwa was corona.

Na amethibitisha Hilo tukio na kusema hatua Kali watazichukua kwa kuwa hawataki kuletewa mzaha katika maisha ya wananchi wao.
Coronavirus: German army loses 6 million masks in Kenya
German army loses 6 million masks in Kenya
 
Kenya ni majizi sana .hahaha ila nyie jirani zetu hapana kwa kweli.
 
Zingekuwa za Sheikh Maktoum mbona wangejamba cheche.
 
Itakuwa hawajaiba ila wamekimbia nazo maana wa Kenya kwa mbio!!
Na kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo umbali wa kuzipata unaongezeka.
 
Back
Top Bottom