Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Wakuu,
Serikali ya ujerumani leo imeitaarifu Rwanda hatua yake ya kusitisha misaada mbalimbali katika nyaja za elimu, tekinolojia na afya.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuthibitika kwamba Rwanda imepeleka wanajeshi wake nchini DRC ili awasaidie magaidi wa M23 kuvuruga amani nchini DRC.
Aidha hatua hiyo imeionya Uganda baada ya wiki iliopita kuingiza jeshi lake katika mji wa Bunia nchini DRC ikiwa ni kinyume cha mikataba ya kimataifa ya amani na kulinda uhuru wa nchi
Wizara ya mambo ya nje ya ujerumani kupitia Waziri wake Bi Annalena Baerbock imethibitisha taarifa za vikwazo hivyo leo;
"Kwa kushirikiana na washirika, Ujerumani itazidisha vikwazo katika ushirikiano wa pande mbili na Rwanda," ilisema taarifa hiyo, ikiongeza kuwa Berlin ilikuwa imeiarifu Rwanda mapema kuhusu hatua hiyo na kuisihi iachane na kuunga mkono kundi la waasi la M23, ambalo limepiga hatua ndani ya Congo"
Kwa mujibu wa Wizara ya Ujerumani, Ujerumani iliahidi kutoa msaada wa euro milioni 93.6 ($98 milioni) kwa Rwanda mnamo Oktoba 2022 kwa kipindi cha 2022 hadi 2024.
Rwanda inakabiliwa na shinikizo la kimataifa kutokana na madai kuwa inaunga mkono kundi la M23, ambalo tangu Januari limeiteka sehemu kubwa ya mashariki mwa Congo pamoja na maeneo yenye madini yenye thamani kubwa.
Mashambulizi yao yanayoendelea yanachukuliwa kuwa ni kuzorota kwa hali mbaya zaidi katika mgogoro wa muda mrefu, wenye mizizi katika athari za mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 na mapambano ya kudhibiti rasilimali kubwa za madini za Congo.
===========================================================
Germany has halted new development aid to Rwanda and is reviewing its existing commitments in response to the African nation's role in the conflict in neighbouring Congo, the German development ministry said on Tuesday.
"In coordination with partners, Germany will further restrict bilateral cooperation with Rwanda," said a statement, adding that Berlin had informed Rwanda in advance of the move and urged it to withdraw support for the M23 rebel group, which has made advances in Congo.
According to the ministry, Germany last pledged aid of 93.6 million euros ($98 million) to Rwanda in October 2022 for the period 2022 to 2024.
Rwanda is facing global pressure over allegations it supports the M23 group which, since January, has captured swathes of eastern Congo and valuable mineral deposits.
Their ongoing onslaught is already the gravest escalation of a long-running conflict rooted in the spillover into Congo of Rwanda's 1994 genocide and the struggle for control of Congo's vast mineral resources.
Congo, U.N. experts and Western powers accuse Rwanda of backing the group. Rwanda denies this and says it is defending itself against ethnic Hutu-led militias bent on slaughtering Tutsis in Congo and threatening Rwanda.
Source: Reuters