Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hahaha Nomaaaaaaaaa*Jana nlienda kuazima pasi kwenye room ya jiran yangu ili ninyooshe nguo zangu, jamaa wakasema nikanyooshe kule kule pasi yao haitok nje! nikaenda kunyoosha!*
*Leo amekuja mmoja wao kuazima mopa ili akapige deki, nimemwambia aje apigie humuhumu maana mopa yangu haitok nje!*
*Ameondoka kmya kmya, nadhan ameenda kuchukua maji!*
♂♂