Ujinga Cpendi

Ujinga Cpendi

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Jana nlienda kuazima pasi kwenye room ya jiran yangu ili ninyooshe nguo zangu, jamaa wakasema nikanyooshe kule kule pasi yao haitok nje! nikaenda kunyoosha!*
*Leo amekuja mmoja wao kuazima mopa ili akapige deki, nimemwambia aje apigie humuhumu maana mopa yangu haitok nje!*

*Ameondoka kmya kmya, nadhan ameenda kuchukua maji!*

‍♂‍♂
 
Hahaha Nomaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom