Hapo namba tano pana shida gani?
kivipi?Imani za dini zimesaidia sana kutupa elimu ya maisha.
dini zinaleta uvivu wa fikraHapo namba tano pana shida gani?
dini zinaleta uvivu wa fikra
kuamini mungu ndo chanzo cha kila kitu kunafanya watu washindwe kuchanganua mambo kwa undani
kwa mtazamo wangu ushirikina na dini vinapaswa kukaa kwenye kundi moja
Unafiki na roho mbayaHawa ndio maadui wa Taifa letu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
4. Imani za kishirikina
5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu.
Hawa watano ndio maadui wa kweli wa Taifa letu.
OkDini na ushirikina zinaendana. Na zilitengenezwa kwa dhumuni moja la kumtisha na kumtawala binadamu..
Ili Simba ipate mashabiki lazima na Yanga iwepo.
kivipi?
sidhani kama elimu dunia ina uhusiano na diniWakati huo, walioleta dini ndio walioleta elimu mbalimbali ambapo ziliwafungua watu wa enzi hizo ambao walizoea kukaa sehemu moja na hawakuwa na uelewa wa mambo ya sehemu nyingine. Dini zina faida yake na hasara zake ila kwa ujumla zilianza kufanya watu wajue kusoma na wajielewe zaidi. Hapa nazungumzia kabla dunia haijawa kijiji. Dini pia zilisaidia kuunganisha dunia kuelekea kuwa kijiji.
sidhani kama elimu dunia ina uhusiano na dini
kiliunganisha dunia kuwa kijiji ni internet na maendeleo ya tehama
dini inachofanya ni kutenganisha d#
Unapinga imani za kishirikiana na bado unapinga dini zilizoenezwa na wakoloni.Hawa ndio maadui wa Taifa letu:
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
4. Imani za kishirikina
5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu.
Hawa watano ndio maadui wa kweli wa Taifa letu.
Unapinga imani za kishirikiana na bado unapinga dini zilizoenezwa na wakoloni.
Jitafakari.
Taifa limetengeneza kizazi cha wajinga, wavivu kufikiri.Hawa ndio maadui wa Taifa letu:
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
4. Imani za kishirikina
5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu.
Hawa watano ndio maadui wa kweli wa Taifa letu.
Ushirikina na dini vipo kundi moja mkuu , hauoni taarifa ikitolewa humu "kuna mtu kameza panga huko geita", utasikia " Alafu kuna majinga yanasema hakuna Mungu"dini zinaleta uvivu wa fikra
kuamini mungu ndo chanzo cha kila kitu kunafanya watu washindwe kuchanganua mambo kwa undani
kwa mtazamo wangu ushirikina na dini vinapaswa kukaa kwenye kundi moja
Waliozileta ndio wenye dini? Ni dini gani iliyoanzia ulaya, naomba unieleweshe ili tujadiliane vizuri.Hawa ndio maadui wa Taifa letu:
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
4. Imani za kishirikina
5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu.
Hawa watano ndio maadui wa kweli wa Taifa letu.