Ujinga ni bidhaa adimu duniani

Ujinga ni bidhaa adimu duniani

MUWHWELA

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
167
Reaction score
238
Twime tubite!!

Dunia yetu imejaa taarifa ambazo siyo sahihi japo ni za kweli, kwa kuwa siyo za kweli basi zimewekwa kwenye mifumo ya Elimu na Media Ili lengo lao Liwe timilifu.

Binafsi nikiwa Katika lindi la mawazo huru nakuja kugundua kwamba UJINGA ni bidhaa inayouzwa kwa bei kubwa bila wajinga wenyewe kujua kwamba wananunu ujinga.

Elimu yetu imeundwa na mkoloni, Ili ipewee kibali Cha kukubalika duniani lazima ifuate utaratibu wao, unajiuliza kwani kufundisha watu wetu utamaduni wetu na mawazo yetu kama Babu zetu haiwezekani? Jibu (inawezekana)

Tuna vyuo vikuu vya kiafrika vilivyopo Afrika Lakini mifumo Yao yote ni ya Ulaya,Amerika au Asia, hapa ndipo msingi wa kuzalisha wajinga unaporutubishwa..

Ukishindikana huko kwenye Elimu basi utaangamia kwenye Media, wanatangaza na kusemea agenda zao za Siri, kwa kuwa ubinadamu wetu una-addict Fulani basi vile tunavyoona mara kwa mara kwenye tv zetu na mitandaoni huo tunaona ndiyo ukweli na jambo sahihi kumbe ni kampeni za kupumbaza wengi zaidi.

Mawazo yetu Yako wapi, Fikra zetu zimefia wapi, maulizo murua yamepotelea wapi..vyote vimeondoka na dhana hizi Tatu...Dini,Media , Elimu .

Wengi hatutumii mawazo yetu, Kila ukisema una wazo lako, ama ulifundishwa shule, kwenye nyumba ya Ibada au uliona Katika tv Yako...Lakini huwezi kukuta MTU mwenye misuli ya kujisemea na kusimamia mawazo yake, nje ya alichofundishwa.

Turuhusu mawazo yetu yafanye kazi na kizazi hiki, hayo yote yaliyoandikwa na yanayosemwa tunayoyaamini ni Mawazo ya watu...Tena watu kama sisi tu siyo malaika.

IPE AKILI KAZI
 
Katika jamii ya sasa, ukiwa na fikra au mawazo tofauti na wengine, au hata ukifanya mambo kwa njia tofauti na iliyo zoeleka, basi watakuona wewe umepagawa au hujielewi.

Sababu ni kwamba wengi wanawaza kwa kufuata mkumbo au kuiga yanayo fanywa na wengi pasipo hata kujua kwamba nao wana akili zao na wanapaswa kuzitumia kwa njia ya kipekee.
 
Mkuu tutolee mfano wa wazo lako wewe ambalo haliendan na mifumo ya wazungu ambalo litasaidia kuitoa nchi yetu hapa ilipo hadi nchi ya ahadi
Nawasilisha...🙏🙏
 
Twime tubite!!

Dunia yetu imejaa taarifa ambazo siyo sahihi japo ni za kweli, kwa kuwa siyo za kweli basi zimewekwa kwenye mifumo ya Elimu na Media Ili lengo lao Liwe timilifu.

Binafsi nikiwa Katika lindi la mawazo huru nakuja kugundua kwamba UJINGA ni bidhaa inayouzwa kwa bei kubwa bila wajinga wenyewe kujua kwamba wananunu ujinga.

Elimu yetu imeundwa na mkoloni, Ili ipewee kibali Cha kukubalika duniani lazima ifuate utaratibu wao, unajiuliza kwani kufundisha watu wetu utamaduni wetu na mawazo yetu kama Babu zetu haiwezekani? Jibu (inawezekana)

Tuna vyuo vikuu vya kiafrika vilivyopo Afrika Lakini mifumo Yao yote ni ya Ulaya,Amerika au Asia, hapa ndipo msingi wa kuzalisha wajinga unaporutubishwa..

Ukishindikana huko kwenye Elimu basi utaangamia kwenye Media, wanatangaza na kusemea agenda zao za Siri, kwa kuwa ubinadamu wetu una-addict Fulani basi vile tunavyoona mara kwa mara kwenye tv zetu na mitandaoni huo tunaona ndiyo ukweli na jambo sahihi kumbe ni kampeni za kupumbaza wengi zaidi.

Mawazo yetu Yako wapi, Fikra zetu zimefia wapi, maulizo murua yamepotelea wapi..vyote vimeondoka na dhana hizi Tatu...Dini,Media , Elimu .

Wengi hatutumii mawazo yetu, Kila ukisema una wazo lako, ama ulifundishwa shule, kwenye nyumba ya Ibada au uliona Katika tv Yako...Lakini huwezi kukuta MTU mwenye misuli ya kujisemea na kusimamia mawazo yake, nje ya alichofundishwa.

Turuhusu mawazo yetu yafanye kazi na kizazi hiki, hayo yote yaliyoandikwa na yanayosemwa tunayoyaamini ni Mawazo ya watu...Tena watu kama sisi tu siyo malaika.

IPE AKILI KAZI
Naungana na wewe kabisa, ndo maana walileta elimu na kuiwekea madaraja, unafanya mtihani kwenye makaratasi ili wapunguze watu, pia wakaja na ujinga mwingine no research no right to say, ili isiweze kuchallenge mambo yao, mara kwa sources ya jambo lako, wengi wanaofanikiwa hapa duniani katika uchumi, biashara, kilimo, dini ,siasa, uongozi ni wale waliojaribu kufanya na kufikiri nje ya box na nje ya yale ambayo wanayaona na kuyasikia.
 
Twime tubite!!

Dunia yetu imejaa taarifa ambazo siyo sahihi japo ni za kweli, kwa kuwa siyo za kweli basi zimewekwa kwenye mifumo ya Elimu na Media Ili lengo lao Liwe timilifu.

Binafsi nikiwa Katika lindi la mawazo huru nakuja kugundua kwamba UJINGA ni bidhaa inayouzwa kwa bei kubwa bila wajinga wenyewe kujua kwamba wananunu ujinga.

Elimu yetu imeundwa na mkoloni, Ili ipewee kibali Cha kukubalika duniani lazima ifuate utaratibu wao, unajiuliza kwani kufundisha watu wetu utamaduni wetu na mawazo yetu kama Babu zetu haiwezekani? Jibu (inawezekana)

Tuna vyuo vikuu vya kiafrika vilivyopo Afrika Lakini mifumo Yao yote ni ya Ulaya,Amerika au Asia, hapa ndipo msingi wa kuzalisha wajinga unaporutubishwa..

Ukishindikana huko kwenye Elimu basi utaangamia kwenye Media, wanatangaza na kusemea agenda zao za Siri, kwa kuwa ubinadamu wetu una-addict Fulani basi vile tunavyoona mara kwa mara kwenye tv zetu na mitandaoni huo tunaona ndiyo ukweli na jambo sahihi kumbe ni kampeni za kupumbaza wengi zaidi.

Mawazo yetu Yako wapi, Fikra zetu zimefia wapi, maulizo murua yamepotelea wapi..vyote vimeondoka na dhana hizi Tatu...Dini,Media , Elimu .

Wengi hatutumii mawazo yetu, Kila ukisema una wazo lako, ama ulifundishwa shule, kwenye nyumba ya Ibada au uliona Katika tv Yako...Lakini huwezi kukuta MTU mwenye misuli ya kujisemea na kusimamia mawazo yake, nje ya alichofundishwa.

Turuhusu mawazo yetu yafanye kazi na kizazi hiki, hayo yote yaliyoandikwa na yanayosemwa tunayoyaamini ni Mawazo ya watu...Tena watu kama sisi tu siyo malaika.

IPE AKILI KAZI
Mkuu waafrika kwa kiasi kikubwa sana tunasumbuliwa na inferiority complex kuliko UJINGA
 
Mkuu unachokisema ni sahihi kabisa, wazee wetu waliweza kufanya kilimo cha asili kwa kutumia mbolea zetu za asili na dawa za asili katika kukuza mimea na tulipata mazao yenye virutubisho visivyo na athari kwa afya ya mlaji.
Lakini baada ya kuwa na wasomi wenye kwenye kada ya kilimo ni kama walifundishwa waje kutangaza vita na mbegu za asili na kuhimiza matumizi ya GMO na kuingia kwenye uraibu wa matumizi ya mbolea za viwandani.
Matokeo yake hivi sasa mbegu za asili zinapotea kwa kasi sana na matumizi ya mbegu za kisasa zimeshika hatamu jambo ambalo linafikirisha juu ya afya za walaji kwa siku za usoni.
Kadhalika kuongezeka kwa utegemezi wa mbolea za viwandani ambazo nyingi huwa imported
 
Mawazo yetu Yako wapi, Fikra zetu zimefia wapi, maulizo murua yamepotelea wapi..vyote vimeondoka na dhana hizi Tatu...Dini,Media , Elimu .
Ukimuelezea mwafika jinsi tulivyopumbazwa hapo kwenye media na elimu mwafrika atakuelewa ila ukitaka utukanwe, utishiwe maisha au mgombane basi gusa hapo kwenye dini. Linapokuja suala la dini mwafrika hawezi kutumia akili yake ipasavyo
 
Ukishakuwa maskini ,moja kwa moja unakuwa na njaa,na ukiwa na njaa basi akili na mwili kwa ujumla haviwezi kufanya kazi Kwa kiwango cha juu.

Yaani kabla ya kuwaza na kufanya chochote kikubwa na chenye tija ,kwanza kabisa lazima uwaze mlo wa siku unapatikanaje na hii ni Kwa afrika,wakati wenzetu wa nchi zilizoendelea swala la kuwaza kuhusu mlo halipo kabisa kutokana na uchumi wao mkubwa ,Kwa hiyo moja Kwa moja akili na mwili kwa ujumla vinaelekezwa kwenye mambo makubwa na yenye tija

Sasa unategemea kwa afrika mawazo huru mfano ya ugunduzi wa vitu yatatoka wapi wakati tu siku inavoanza akili inaanza kuchoshwa Kwa kuwaza vitu vidogo na vya kawaida kama chakula kwamba kitapatikana vipi.
 
Ukimuelezea mwafika jinsi tulivyopumbazwa hapo kwenye media na elimu mwafrika atakuelewa ila ukitataka utakanwe, utishiwe maisha au mgombane basi gusa hapo kwenye dini. Linapikuja suala la dini mwafrika hawezi kutumia akili yake ipasavyo
Umeweka nyongeza nzuri sana yenye tija kwa jamii nzima ya wajua kiswahili
 
Back
Top Bottom