nalima kitunguu boss na nafanya biashara bado week hii ntakua free ntaleta mrejeshoMkuu uliishia wapi na kilimo cha matikiti maji?
Mbona ulisema utaleta mrejesho afu kimya?
Ulisema umeacha kazi serikalini, vipi life la ajira na la mtaani utofauti wake umeonaje?
Hongera sana mkuu kwa kuthubutu.sikuacha ajira kwenda kulima tikiti nimeacha ajira nimejiajiri nafanya biashara spares za pkpk nasafirisha samaki na nalima pia nw nalima kitunguu