Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,738
Ujinga ni kuchukia unapofumania wakati we mwenyewe una michepuko ya kushato!
Ujinga ni kushabikia waliokunyima ajira waendelee kukunyima
Ujinga ni kupanga foleni ya NIDA na hujajaza hata ile form ya kukutambulisha
Ujinga upo mwingi ila wewe unahisi ujinga ni nn?