Ujinga umeigharimu Taifa Stars

Ujinga umeigharimu Taifa Stars

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
Siku zote nimekua nikisistiza kwamba mpira ni mchezo wa plan ila naona wachezaji wa Tanzania wanakaza fuvu hawataki kunielewa japo wananifatilia sana pia chambuzi zangu.

Baada ya Zambia kupata kadi nyekundu na kubaki pungufu huku tukiwa mbele kwa bao moja ilikua wakati muafaka wa Tanzania kuongeza mashambulizi kuongeza angalau mabao mawili kujihakikishia ushindi hususan kutokana na umuhimu wa mechi hii.

Ila cha kusikitisha wachezaji wetu wakabweteka na kupunguza kasi ya kushambulia wakaanza na kucheza kurudi nyuma imefika wakati tunapata mipira ya faulo ya kujaza mbele tunarudisha nyuma tunajiamin tayari tuna goli uhakika wa ushindi upo.

Matokeo haya ni matokeo ya upumbavu wa wachezaji wetu wanapaswa kuliomba radhi taifa wametukosea mno hii mechi ilikua ni ya kushinda kabisa upumbavu umetugharimu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
1705679791769.jpg
 
Siku zote nimekua nikisistiza kwamba mpira ni mchezo wa plan ila naona wachezaji wa Tanzania wanakaza fuvu hawataki kunielewa japo wananifatilia sana pia chambuzi zangu.

Baada ya Zambia kupata kadi nyekundu na kubaki pungufu huku tukiwa mbele kwa bao moja ilikua wakati muafaka wa Tanzania kuongeza mashambulizi kuongeza angalau mabao mawili kujihakikishia ushindi hususan kutokana na umuhimu wa mechi hii.

Ila cha kusikitisha wachezaji wetu wakabweteka na kupunguza kasi ya kushambulia wakaanza na kucheza kurudi nyuma imefika wakati tunapata mipira ya faulo ya kujaza mbele tunarudisha nyuma tunajiamin tayari tuna goli uhakika wa ushindi upo.

Matokeo haya ni matokeo ya upumbavu wa wachezaji wetu wanapaswa kuliomba radhi taifa wametukosea mno hii mechi ilikua ni ya kushinda kabisa upumbavu umetugharimu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2879039
Ma sub alizofanya kocha Kwa fashen zimevuruga matokeo
 
Wala hilo sio tatizo tatizo letu kubwa ni WACHEZAJI WETU HAWAJITAMBUI

Mbona tunaona timu nyingine watu wakiingia sub ndio wanazidisha moto wa mashambulizi?

wachezaji wetu hawana mindset za ushindani ndio maana hata wakienda majaribio ulaya huwa wanafeli.

Kitu kingine watanzania tunaleana sana! Kilichotokea ivory coast timu ikirudi tunapaswa tufukuze benchi zima la ufundi na wachezaji ambao hawajielewi tuache kuwaita timu ya taifa

Sasa wakirudi utawaskia wanasiasa na viongozi wa tff wanaanza kupiga siasa ooh tunapaswa tuwe wavumilivu bado tunajenga timu na upuuzi mwingine km huo.
 
Siku zote nimekua nikisistiza kwamba mpira ni mchezo wa plan ila naona wachezaji wa Tanzania wanakaza fuvu hawataki kunielewa japo wananifatilia sana pia chambuzi zangu.

Baada ya Zambia kupata kadi nyekundu na kubaki pungufu huku tukiwa mbele kwa bao moja ilikua wakati muafaka wa Tanzania kuongeza mashambulizi kuongeza angalau mabao mawili kujihakikishia ushindi hususan kutokana na umuhimu wa mechi hii.

Ila cha kusikitisha wachezaji wetu wakabweteka na kupunguza kasi ya kushambulia wakaanza na kucheza kurudi nyuma imefika wakati tunapata mipira ya faulo ya kujaza mbele tunarudisha nyuma tunajiamin tayari tuna goli uhakika wa ushindi upo.

Matokeo haya ni matokeo ya upumbavu wa wachezaji wetu wanapaswa kuliomba radhi taifa wametukosea mno hii mechi ilikua ni ya kushinda kabisa upumbavu umetugharimu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2879039
Nadhani kunaratizo kubwa sana mimi nasema ni uelewa ama uwezo mdogo wa kufikiri, lack of talent and skills
 
Tusigombane na wachezji/ Viongozi wa soka letu AFCON si kwaajili ya wachezji wa ndani.
Wachezaji wa ndani uku Afrika Wana michuano Yao na hawazidi 10% ya wachezji wote wanao shiriki michuano hii inayo endelea.
AFCON ni kwaajili ya wachezji wanao cheza Nje ya Afrika na moto wao unauona.

Sisi tunahangaika na kuwatupia lawama wachezji wetu wa ndani wakati uwezo wao umefikia Kikomo Tena wengi Wana umri mkubwa.
 
Fighting spirit hakuna. Mtanzania akishapata kagoli baasi anajiona amemaliza kila kitu ni kuanza kupasiana na kurudisha nyuma.

Hii timu bora itolewe tu hamna popote inapoweza kufika kwa mpira huu.
 
Back
Top Bottom