Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Siku zote nimekua nikisistiza kwamba mpira ni mchezo wa plan ila naona wachezaji wa Tanzania wanakaza fuvu hawataki kunielewa japo wananifatilia sana pia chambuzi zangu.
Baada ya Zambia kupata kadi nyekundu na kubaki pungufu huku tukiwa mbele kwa bao moja ilikua wakati muafaka wa Tanzania kuongeza mashambulizi kuongeza angalau mabao mawili kujihakikishia ushindi hususan kutokana na umuhimu wa mechi hii.
Ila cha kusikitisha wachezaji wetu wakabweteka na kupunguza kasi ya kushambulia wakaanza na kucheza kurudi nyuma imefika wakati tunapata mipira ya faulo ya kujaza mbele tunarudisha nyuma tunajiamin tayari tuna goli uhakika wa ushindi upo.
Matokeo haya ni matokeo ya upumbavu wa wachezaji wetu wanapaswa kuliomba radhi taifa wametukosea mno hii mechi ilikua ni ya kushinda kabisa upumbavu umetugharimu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]